lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sehemu ya mitaa - ghafla lyrics

Loading...

chorus (kyussa)

ninachojua nita get one day
ni get good day
nipush some day some
ninachojua mi ni sehemu ya mitaa
sehemu ya mitaa
mi ni sehemu ya mitaa ufahamu
nimezaliwa kuwa champion
na ninachojua mi ni music
na ninachofanya mi ni rap game
hip hop game…aaahh

verse 1 (ghafla)
maombolezo kila siku iko wap safina
hakuna upendo sina amani sio usafi sina
jikadirie unapotaka nikuombee uzima
verse safi hadi niki hit siwataji majina
mziki mzuri kw*ngu daily online
so uwaze mkwanja kwenye ukweli sijafurahi
achia kuvuta pumzi kila mmoja anawaza good life
ndo maana nahitaji usawa pakiwa pabaya mi sikai
nahema sifanani nao
eti mziki ni zamani july
wacha wafurahi muda mzuri haupo kila saa
speed ak fourty five
street tun*z*washa taa
mitaa imeharibika ukiskia south wanafia drugs
mwache sharobaro ajidai
a city sio mbali
washkaji wanafia beto rest and peace faza nelly
unadhani tunajinadi
hujui uzima zawadi?
pindi muda ukifika,mkuu hii tsunami
rap city kwenye map,hip hop kwenye damu zao
ufanywe chuma uletе siku ukileta watakufanya wao
taarifa kila kaya sisi ni wawakilishi wao
na jinsi ilivyowekwa upate pеsa uwapige bao
chorus (kyussa)

ninachojua nita get one day
ni get good day
nipush some day some
ninachojua mi ni sehemu ya mitaa
sehemu ya mitaa
mi ni sehemu ya mitaa ufahamu
nimezaliwa kuwa champion
na ninachojua mi ni music
na ninachofanya mi ni rap game
hip hop game oooh sh*t
ninachojua nita get one day
ni get good day
nipush some day some

verse 2 (shakil g.i.g)
najua kuhusu ushindi kuhusu kufeli pia ninajua
nimewekeza akili nyingi kwa hiyo kufeli ni kujifunza
kwa hiyo ukweli kuhusu ushindi na namna ya kujikwamua
ni jinsi unavyojua namna ya kucheza na muda
be the refaree,weka mpira kati when you score
stay real,usikae karibu na mafoe
sikuhizi jasho tunali convert kuwa doe
so hatukai tu maskani kwa ugali wa shikamoo
nashukuru mungu niko hai
na bado naifanya inakuwa poa very fine
na direction ni juu me sishuki ka masai
am heading to the top i know you can feel the vibe
ilikuwa ni chemli na mshumaa ili tupate mw*nga usiku
me bado sijasahau nilipotoka
ilikuwa ni chochoro mpaka studio tungepigwa roba usiku
na bado tuliamini tutatoka
nipo mimi tu na wana wanaoamini ipo siku
na bado tunakaza hatuja choka
ninachoamini me na wana tutatoka tu ipo siku
ushindi ni wetu sote hakuna kuogopa
chorus (kyussa)

ninachojua nita get one day
ni get good day
nipush some day some
ninachojua mi ni sehemu ya mitaa
sehemu ya mitaa
mi ni sehemu ya mitaa ufahamu
nimezaliwa kuwa champion
na ninachojua mi ni music
na ninachofanya mi ni rap game
hip hop game oooh sh*t
ninachojua nita get one day
ni get good day
nipush some day some

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...