moja/nafasi ya upendeleo - ghafla lyrics
chorus
moja
ndo nafasi iliyobaki,nafasi aliyoipata
nafasi ya upendeleo,ipo moja
moja ndo nafasi iliyobaki,najua haitokuumiza ndo nafasi iliyobaki
nafasi aliyoipata
nafasi ya upendeleo ipo moja
moja ndo nafasi iliyobaki,nafasi aliyopewa
nafasi ya upendeleo ipo moja..
verse 1
waite wenzako tuijadili hii mada pamoja
ndio mi rafiki ila ni kipi wazazi wako wanangoja
(mwaaah) najivunia wewe mama
ila siku hizi watoto wa kike wakiniona wanataka kunipa usichana kipi nangoja
amesahau kuwa wazazi wake wanaamka asubuhi mapema?
chukua hamsini hakuna chai mwenetu nenda kusoma
ndio kauli iliyojirudia
huwa anajitahidi kucheka akik*mbuka huwa *n*lia
simulizi za mama yake nae kukimbiwa na baba
sitaki kuamini amedharau,simuulizi kwa maana atanichukia na mimi labda
ila akija kichwa kichwa nitamnyoosha
tembo auliwe kwa ukuni
na uvumi uliopo mtaani siku hizi unaifanya kama uhuni
unawapooza wenye vipururu wasio na zali watumia sabuni
jana umekazwa na kama watatu wanne
ishu ni wajichange kama kampuni
unanik*mbusha maisha ya ummy
anacheza club uchi na wenye suti anawavua anasema do me
akiulizwa vipi haiumi?
anasema tazama uchumi
unacheki sina hata sumni?
hata wakiingiza gunzi nitajikaza kisabuni nitakunja ngumi
watu..
chorus
moja
ndo nafasi iliyobaki,nafasi aliyoipata
nafasi ya upendеleo,ipo moja
moja ndo nafasi iliyobaki,najua haitokuumiza ndo nafasi iliyobaki
nafasi aliyoipata
nafasi ya upendelеo ipo moja
moja ndo nafasi iliyobaki,nafasi aliyopewa
nafasi ya upendeleo ipo moja..
verse 2
nimcheke anune tena?
kwani akicheka?
hata ukimpa mkate hasemi asante ye atakula na atasepa
amesahau kuwa baba yake hakuchukua fedha za epa?
na yeye sio miongoni mwa watoto wa bakhresa
ni mtoto wa mkulima
mwenye jembe mgongoni abadani asiyewaza trekta
uzuri hata mwalimu wake alimwambia
we mtoto wa kike na wanaume mnafanya nini huko back bench
k*mbe vidole vinamuingia
ooh sorry,leo ana mimba ila mabwana wamemkimbia
hatofautiani na mama yake
malezi ya pande moja bila ya k*mjua baba yake
ana maanisha huu mduara hauishi tena ndo maana yake?
swali linanijia kichwani hivi atakuwaje huyo mtoto wake
naskia anataka kutoa mimba ina maana haofii maisha yake?
haofii atakufa kama rachel na inamuhitaji damu yake?
maisha yake kama sinema na imekwisha show
ni kama askari wa jiji na kona za matrepole
anawaza aolewe ataolewa vipi na ni mcharuko
anaambiwa huyo bwana hayupo
kwa msichana asiyejitunza,acha wakinukishe kama muamsho
na hofu ni gonjwa hatari
bridge (mozeh thomas & chiippiippii)
nipe nafasi ya upendeleo
jua upo na mimi usilie
ndo kauli niliyoiskia
kweli mama hamchoki mwana mwambie
mama,mama huwa haifadhi visasi
we sema mama nipe radhi
haitokuwa na maradhi niambie
nenda mwambie
mama
chorus
moja
ndo nafasi iliyobaki,nafasi aliyoipata
nafasi ya upendeleo,ipo moja
moja ndo nafasi iliyobaki,najua haitokuumiza ndo nafasi iliyobaki
nafasi aliyoipata
nafasi ya upendeleo ipo moja
moja ndo nafasi iliyobaki,nafasi aliyopewa
nafasi ya upendeleo ipo moja..
Random Song Lyrics :
- fuck migos - campbell || gardner lyrics
- sweetheart - daniel johnston lyrics
- sweet lad - faye webster lyrics
- long distance - single mothers lyrics
- pgp - nor lyrics
- sins - deek bandz lyrics
- nowe oblicze rapu - waluś lyrics
- unser element - crankz82 lyrics
- my skin - mario william vitale lyrics
- kiedy słyszę bit - growbox lyrics