ama do me - getta lyrics
[chorus]
it’s all good kw-ngu mimi
mzee wa kuchekecha
yeah that’s mimi
i’ma do me
siku hizi kelele sio uhuni
[verse 1]
it’s go getta kama ulikuwa ujanisoma
sio leo ipo siku utanisoma
nabishana na mic j-po kesho nisile dona
uku na kule getta still natoka kapa
nachoambulia ni kunuka kwapa
naiona njia ila tatizo hapa
mziki nimeuk-mbatia uku n-z-di suffer
na muda unakimbia so nimchaka mchaka
nsije kujutia muda ukishakata
that’s why i gotta speed up kidogo
and solution sio kula vyombo
[chorus]
it’s all good kw-ngu mimi
mzee wa kuchekecha
yeah that’s mimi
i’ma do me
siku hizi kelele sio uhuni
[verse 2]
you here me!
and getta i’m just doin’ my thang
stay outta my lane usiniletee za kindezi
see i’m a night crawler huwa natambaa
nikishauona mwezi
me ndo mkali wa izi ndezi
fundi ila sio was ujenzi
naogopea kama mckenzie
ili dundo la kishenzi
anga stay far tunakiwasha kila saa
[chorus]
it’s all good kw-ngu mimi
mzee wa kuchekecha
yeah that’s mimi
i’ma do me
siku hizi kelele sio uhuni
[verse 3]
straight outta ghetto
mizuka kama yero,subai
so who am i n who’s high
muulize pusha t niku-wake and bake
wapi gas haina brake
me na mziki kaa tambua hatuwezi brake up
it’s my time gotta step up
nitang’aa bila make-up
napokaa wanaduwaa huyu jamaa
mida gani yeye -n-lala na ku-wake up
goin’ hard is all i know
mikazo mwa-mwi haina kusema no
hustle jana leo mpaka (mpaka) mtondogo
aisee hustle jana leo mpaka (mpaka) mtondogo
[chorus]
it’s all good kw-ngu mimi
mzee wa kuchekecha
yeah that’s mimi
i’ma do me
siku hizi kelele sio uhuni
Random Song Lyrics :
- queste ossa - drupi lyrics
- não perca sua vida na noite - apocalipse 16 lyrics
- blue christmas - doye o'dell lyrics
- celebrar - luigi 21 plus lyrics
- all of a sudden - moosh & twist lyrics
- probe miguel - triana pura lyrics
- müze - aussenseiter lyrics
- r /|\ uragano d'amore - rpc lyrics
- morgonens nåd - peter lemarc lyrics
- i'll find a way - outer concept lyrics