unruly - geri soweto lyrics
yoh capital g ni ya g*nius
gangster wa gerii
yoh tangu niturn unruly
mode mesti alinidunga x
akadai manze nimekuwa bad bully
uncontrollable, unrully unrully unrully
overspeeding thika road hatujali traffic lights
si hupita kehuti na boxer ya nduthi, geri unrully
most wanted na hao mafeds in real sense nfs
westside mag*nius gangster wa geri
wao hupiga mboka swafi cleansheet si humada shughli
opp boy alikam na skeng akatolewa mtutu, tu tu tu
geri unrully unrully unrully
ndio ujue kudrip, lazma lazma ujue kuoga
ndo ufit kwa geri lazma lazma ujue kuzoza
ukidai collabo na geri, lazma lazma ubonge na kale
si, si vijana wa juzi, si ni wale wa zama za kale
westside jo geri imeconcur
si, si ni unruly
don’t take it easy go hard
ju hii game ni ya mabully
punguza kiburi tumeona wengi wamegenya
kina rogo manduli (rip)
mi sina doh na sina form
na shawty anadai kudrink
what i can afford is chrome
too bad ali*order gilbeys
kwanza jo kwa liqour store
si, si wines and spirit
yoh tangu niturn unruly
mode mesti alinidunga x
akadai manze nimekuwa bad bully
uncontrollable, unrully unrully unrully
overspeeding thika road hatujali traffic lights
si hupita kehuti na boxer ya nduthi, geri unrully
most wanted na hao mafeds in real sense nfs
westside mag*nius gangster wa geri
wao hupiga mboka swafi cleansheet si humada shughli
opp boy alikam na skeng akatolewa mtutu, tu tu tu
geri unrully unrully unrully
mi hukuw*nga badboy crooked
mrenga ya black kando ya roadi, window ni tinted
si hulenga manambling d*ckheads
walidare k*muok my block this pagans
breaking news ati all boys got chefed
waligeuzwa chickens
geri huroll hadi midnight magizani
hatujali ma lockdown curfew
law breakers tulicheza bake na lakers
cross overs walidai mi nikae ri uncle drew
si huchoma zoot in public
face kwa barley geri iko high
gods flow tuko meditation
class 6 nilipiga shopde koto
kotko rulling ya judge ikadai
24*hour school detention
juzi ops walicross my brejin
ilibidi geri imepiga retaliation
tumekuja war on your block no fear
luku geri imepiga ball clover black
hoodie black, chuja ni air maziwa
zabe sanse alipata ikidim
but still akapinch hio shash
si huwakula matonje archives
tukicheki usoo si huleg it
utadhani ni flash
nikipullup na mali fisa mlegit
mi hupitia mngola ya front
crew imebonda so ukidai kutupima
don’t be fck msilly, si hukuwa unrully
tangu niturn unruly
mode mesti alinidunga x
akadai manze nimekuwa bad bully
uncontrollable, unrully unrully unrully
overspeeding thika road hatujali traffic lights
si hupita kehuti na boxer ya nduthi, geri unrully
most wanted na hao mafeds in real sense nfs
westside mag*nius gangster wa geri
wao hupiga mboka swafi cleansheet si humada shughli
opp boy alikam na skeng akatolewa mtutu, tu tu tu
geri unrully unrully unrully
Random Song Lyrics :
- phi - scalene lyrics
- sleepy - j.i.m. lyrics
- contra el tiempo - puerto seguro lyrics
- blue (da ba dee) - music legends lyrics
- hearts and minds - wolfskin lyrics
- built my legacy - kodak black lyrics
- dj basedgod - lil b lyrics
- aamukuuteen - antti tuisku feat. erin lyrics
- take you there - tilian lyrics
- urac71 - narf jay feat. jooj lyrics