baraka - gelax lyrics
intro
wa kri sto
chorus
nilivyookolewa nilihesabu baraka
jaribu nikishinda nahesabu baraka
ni kila kukikucha nahesabu baraka
baraka, baraka, baraka
2017,nimehesabu baraka
2018, naihesabu ni baraka
2019, nikuziteka baraka
na milele yangu kuziteka baraka
baraka, baraka, baraka
verse
baraka kama mvua zinashuka
sio mpaka niende kenya kwa kenyata
kwa magufuli hapa hapa nitapata
baraka zangu zina mbio zitanikamata
kutoka juu zimetumwa ni kamili
nimeona wema wake ukinifadhili
hata msamaha wa dhambi yesu aliukabli
kwa neema yako ni baraka kubwa leo nakiri,,
mimi kutoa, natoa nilichonacho
wewe umeniokoa, umenipa nisichonacho
ni upendo wako mungu una nguvu kuu
unao uwezo wa ajabu zaidi ya sumaku
chorus
nilivyookolewa nilihesabu baraka
jaribu nikishinda nahesabu baraka
ni kila kukikucha nahesabu baraka
baraka, baraka, baraka
2017,nimehesabu baraka
2018, naihesabu ni baraka
2019, nikuziteka baraka
na milele yangu kuziteka baraka
baraka, baraka, baraka
nak-mbuka namna ulivyoisha mwaka
kambini kwenye maombi ya shukrani na sadaka
tukiwa na imani mkono wa kupokea baraka
roho alishuka kwa kila aliyemtaka
aliniambia , kwa elfu mbili na k-mi na saba
kila siku yako moja itakuwa na baraka
ukweli zimefika na nimeziandika
sikuwahi pungukiwa,wala hakuwahi kuniacha
na kazi nikapata, nikaanza hesabu siku
ombi nililosahau nilishtuka, ulivyo nijibu
ingekuwa mwanadamu angesema sipati kitu
lakini nakushukuru mungu uliye mwaminifu
chorus
nilivyookolewa nilihesabu baraka
jaribu nikishinda nahesabu baraka
ni kila kukikucha nahesabu baraka
baraka, baraka, baraka
2017,nimehesabu baraka
2018, naihesabu ni baraka
2019, nikuziteka baraka
na milele yangu kuziteka baraka
baraka, baraka, baraka
verse
baraka za rohoni tumepewa
baraka za mwilini tumepewa
pumzi ya uhai nayo tumepewa
jina lenye mamlaka nalo tumepewa
hazina yangu mbinguni nimeekewa
kuzipata zote mi nahisi nachelewa
baraka n-z-pata bila hata kuomba
ukweli nimehesabu january mpaka disemba
chorus
nilivyookolewa nilihesabu baraka
jaribu nikishinda nahesabu baraka
ni kila kukikucha nahesabu baraka
baraka, baraka, baraka
2017,nimehesabu baraka
2018, naihesabu ni baraka
2019, nikuziteka baraka
na milele yangu kuziteka baraka
baraka, baraka, baraka
Random Song Lyrics :
- face - meneo boombahton remix - the zombie kids lyrics
- for my women - obnoxshiz lyrics
- lost in the fifties - ronnie milsap lyrics
- introkor - tvrdokor (tibor, geralt iz rivije, žaegulj zim & flowdeep) lyrics
- invictus - ol' kainry lyrics
- suck my kiss - bjÿrn berge lyrics
- do it all - marzs lyrics
- lyin' in a bed of fire - little steven & the disciples of soul lyrics
- #introvertic - jnr lyrics
- vænner mig ikk' til det - marwan lyrics