kizamani, kisasa - geezer lanez lyrics
[intro]
kuandika mashairi ni ngumu ujue
geezer lanez
yoh!
[chorus]
kizamani, kisasa
kizamani, kisasa
simba amenasa
walionikataa, wananiita hustler
kizamani, kisasa
samatta au ng-ssa
walionikataa, leo wananiita hustler
[verse]
kizamani, kisasa
mashairi yamenasa
niko na marafiki hawa wa kisasa
mashabiki wapo facebook yaani kisasa
tungekuwa zamani yaani nani angenasa
simba amekuwa n.a.s.a
bado tuko anasa
mapenz yamekuwa mazuri yaani na anasa
natumia condom navyoweza na kisasa, mda umekwenda
yaani kizamani, kisasa
[chorus]
kizamani, kisasa
kizamani, kisasa
walionikataa, leo wananiita hustler
kizamani, kisasa
kizamani kisasa
samatta au ng-ssa
walionikataa, leo wananiita hustler
kizamani, kisasa
kizamani, kisasa
walionikataa, leo wananiita hustler
kizamani, kisasa
samatta au ng-ssa
walionikataa, leo wananiita hustler
[instrumental]
[outro]
never give up, never, never
never give up, never, never
never
Random Song Lyrics :
- myvision - dvertigo lyrics
- capricornio - young flow h lyrics
- wait on u - silo lyrics
- mercy - seth & nirva lyrics
- tuborg - mehyad lyrics
- stevie jobs - po.motion lyrics
- about living - the socket system lyrics
- rosé - kim dracula lyrics
- skeptical - būnyamin lyrics
- frozen light - greta van fleet lyrics