lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbali - gee waya lyrics

Loading...

#intro
yeeh
yeeah
gee waya
no nono no nono no
no nono no nono no

#verse
umeniomba msamaha ila mi sipo tayari kukurudia
najua utasema shetani alikupitia
ninaelewa tayari, jawabu nalijua
we tambua, matapishi siwezi kuyarudia
kwani nimebadilika kipi?
kwani nimepungua kipi?
mi ndio yule uliyenionaga pimbi
ukanisaliti, ukasepa na kijiji
kwani nimebadilika kipi mi?
kwani nimeongezeka kipi?
mi ndio yule uliyenionaga pimbi
ukanisaliti, ukasepa na kijiji

#bridge
kama kweli ulinipenda, kwanini uliondoka?
kwa kejeli, ukatukana mamba mto hujavuka
umeshafeli, nyuma geuka kajenge ulipotoka
#chorus
sitaki k*mbuka mbali, mbali, mbali
tena sepa, nenda mbali
i’m sorry, i’m sorry
kurudiana na wewe sitaki, sitaki, sikuhitaji
so please leave me alone
plеase leave mе alone
sitaki k*mbuka mbali, mbali, mbali
tena sepa, nenda mbali
i’m sorry, i’m sorry
kurudiana na wewe sitaki, sitaki, sikuhitaji
so please leave me alone
please leave me alone

#verse
mwana kuli find, umeli gate
nilivo connect, uli disconnect
penzi fake, siliwezi
wallah nasema, mi sikupendi
usije sema mi nakusema vibaya
nilikua mwemawewe ndiye
umenifunza ubaya
si uliniona nachekesha
upendo w*ngu ukagawa
we mzigo usiobebeka
kitambo nisha retire
#bridge
kama kweli ulinipenda, kwanini uliondoka?
kwa kejeli, ukatukana mamba mto hujavuka
umeshafeli, nyuma geuka kajenge ulipotoka

#chorus
sitaki k*mbuka mbali, mbali, mbali
tena sepa, nenda mbali
i’m sorry, i’m sorry
kurudiana na wewe sitaki, sitaki, sikuhitaji
so please leave me alone
please leave me alone
sitaki k*mbuka mbali, mbali, mbali
tena sepa, nenda mbali
i’m sorry, i’m sorry
kurudiana na wewe sitaki, sitaki, sikuhitaji
so please leave me alone
please leave me alone

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...