lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

isabella - gabiro mtu necessary lyrics

Loading...

isabella naogopa unasepa
isabella ya kwetu k*mbuka
isabella naomba uk*mbuke
isabella naomba uk*mbuke

isabella, ningekuwa na pesa ningekupa duka
ju unaenda njoo tuseti moja uketi chini ukivuta
oh mama kabla ukwende nipe busu nitak*mbuka
nipe tena, nikilala usingizi usiku naota
i’m stricken i can’t deny
ukarimu wako ndo unakupa sifa
and am stuck here for life
i can’t move you are my ride or die

isabella naogopa unasepa
isabella ya kwetu k*mbuka
isabella naomba uk*mbuke
isabella naomba uk*mbuke

ukifika uipige simu yangu
nabaki na nani?
unaniacha mpweke
nitachekwa nyumbani vile nimetokwa na mke
sifumi sioni umenipiga mateke
i just feel like you are the one
labda moyo inanipa mtihani
ukifika london
utume please call me nikope mama
ukirudi london
waambie sifa za huku nyumbani kenya
i’m stricken i can’t deny
ukarimu wako ndo unakupa sifa
and am stuck here for life
i can’t move you are my ride or die
isabella naogopa unasepa
isabella ya kwetu k*mbuka
isabella naomba uk*mbuke
isabella naomba uk*mbuke

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...