lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

adhiambo - gabiro dahiphop lyrics

Loading...

lazima ushuke
saa hii usipo-rap venye uko na pesa hakuna mahali unaenda
uki-rap ati mi nimesota
aii, nani anataka kuskia watu wamesota
babz on the track
doobie doobie
doobie doobie
stupid

eti abbas
mista abbas aka jerry doobiez
leo nakunyang’anya u-star
so utakuwa miss abbas aka
njeri doobiez
so let’s do this
eeh hii si biz man
mi niko serious
na-make dough
ukinichungulia na mlango (babz on the track)

octo nakuwaga m-hot
reason kila mahali utapata nimesurroundiwa na mafans
lyrically poisonous
nikitema unaeza dhani siku hizi kwa ulimi niko na ma-fangs
3 years kwa game na tayari
nishapatiwa ma-ranks
mc amesota
na anajaribu kujiona kwa bank
mazee, abbas wee ni m-whack
na una-suck ka gunia
kwa hip hop najivunia
wee unavumilia
reason utanipata kushoto nikicheka
n—a nakuwachia kulia
huwezi fungua macho uone kimya anakutumia
kwa hii game ushafika menopause, hauwezi flow
umekula chumvi nyingi kwa game
mpaka ukiangalia nyuma mazee huskii unageuka
bibi ya lot
kwa game mi ni mchanga sana kwa brain niko na alot
high ka pilot mwenye ako juu ya tot
cheki man, niko mbele
unapigania nyuma ka msenge
juu si-si-si-si si kupenda kw-ngu
abbas skiza genge
mabomboclat n—a nime-grow up nikiskiza reggae
cheki, una-hate chiwawa
juu unaogopa kuumwa
huwezi nitaja kwa diss track juu unajua utatumwa
una-hate jua cali juu anakunyima vitamin d
fanya bidii
fungua macho hauna ma-show jaribu kuuza macd
acha kujiona g juu una-roll na wasee wa digi
acha kujiona dj una-roll na wasee wadiju
to be or not to be, i got to be
doobiez or not doobiez i’m ygb
octo p.i double z uh-oh
na ka hujui kwa hii game mi ndio ce uh-oh
daily n-z-di ku-blow
man westie westie
—- hiyo k-south flava
cheki, kwa hii game mi ni sean paul wee ni sasha
in short wee ni b—h backbiter ka snitch
mtaa bado ni kibich namba nane
bonga s–t nikushike low ka mbachu za easich
naku-throw kwa ditch
tayari niko underground
mi sina time ya kujaribu kupata ma—
mi siko media hungry
kenye nadai ni dough
kenye nimekuja kukuambia hapa hivi
sipendangi ku-jam lakini ulinijamisha
na mimi ni ule boy hushika nare daily ka worker wa kplc
ngoma zako nilianzanga kuziskia kbc
man wee ni mzee sana
saa zingine mi hushindwa hata nikuambie nini
unajiona uko na chapaa
na bado reason unashika mic unajiita rich boy
lakini lyrically kwa hii game hauwezi nifikia n—a hauwezi ni-reach boy
unajiona ati mi ni boy wa juzi
kwa hii game si story na juzi
ni story na ujuzi
si kupokea mic na kuanza kutema upuzi
man, ati ukishika mic ati unasema venye uko na
nine inches kwa boxer
na kw-ngu hiyo ni ka d-ld-
tangu uwachwe na mresh
najua saa hii kuna increase in your libido
uh-oh, iza jo, nime-get personal
octo, unajionanga chali
lakini unabebanga shati juu kenye mi huona tu ni ma-pot belly
octo mazee, mi na wee hatuwezi toshana
hatutawahi meet, tuko parallel ka chuma za reli
lakini kwa game bado mi ni heavyweight ka chuma za meli
nakuwacha in a dilemma ka ya r kelly na nelly
unajiona hardcore
lakini kw-ngu bado ukitema hauskii wee hu-sound ka r kelly
man, una-talk about kukuwa na ma-calorie
na mi kila time nikiangalia face yako
unakaanga ka ule mtoi anauzanga beri beri
umesota huwezi buy fan wako hata pk
labda mr. berry
mr. jerry
kwa hii game niko so sorry lakini ntakwambia kwaheri
iko nini
na hii ngoma haina hook
juu tayari nilisha-hook up na baby g

namba nane homie
tuna-take over
hauwezi reply
babz on the track
si unajua hapa hivi ndio
capital city ya h.i.p h.o.p
underdawg production
yaani wee umeniamsha tu leo nimekuona kwa telly ati uko kwa vibe city ukiyap yap
ata nilikuwa nimelala saa hii imebidi niingie kwa booth nianze ku-rap
reason na-sound ni ka niko lazy
lakini man, hauniwezi
kwa hii game hauwezi man
wee ni mzee man
wee ni mzee, wee ni mzee inafaa yani
nakutuma home hata bila pension
next time jina yangu ukiwa kwa interview usijaribu ku-mention

abbas umesota
man hivo ndio una-sound ukijaribu kuji-compare na mimi
i’m above your average
doobie doobie
doobie doobie
stupid

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...