makuu - g3tta lyrics
[chorus: v.i.c]
n*gga we lit
ya’ll ready know the bizz
look at the vibes
tunang’aa kwenye giza (that’s drip)
pull up with the gang and we all so cool
can’t complain cause the gang so cool
fresh as a muhf*cka straight out the pool
tena hatupendagi makuu
[verse 1: g3tta]
informer
apa we ndo utahama
riding on a guta mchana
na mida nina kimbizana
nyama choma jua likishazama
nikuji boost kama kiba drama
nkiwa booth mwendo wa kuchana
sitaki busu can we skip to kufanya
hii shop si ya ndekufanya (woo!)
chilling with my man bafana
planning kula bata from dar to botswana
sema wese ndo tumekwama
fanya kaa unadondosha lil mama
hii ndo kufa kufaana
hata kaa leo vyuma vimeumana
[chorus: v.i.c]
n*gga we lit
ya’ll ready know the bizz
look at the vibes
tunang’aa kwenye giza (that’s drip)
pull up with the gang and we all so cool
can’t complain cause the gang so cool
fresh as a muhf*cka straight out the pool
tena hatupendagi makuu
[verse 2: g3tta]
yah
siachi kitu g3tta nina njaa
mafisi twala ata fupa
washa kitu muda wa kupaa
usikurupuke bana acha pupa
mbona tushasanuka
wakiuliza tunakausha
twakimbiza mpaka mafuta
yеah yeah
na twakimbizana na muda
huku twayakwepa ya mac muga
kitaani twaongea lugha moja (haipingwi)
ukiеnda straight mbona sana utangoja
usilete pose no kodak
black situmiagi powder
kimenuka ni mzoga
hiyo kwetu ndo mboga (yah!)
[post*chorus: v.i.c]
n*gga we lit, y’all ready know the biz
look at the vibes, tunang’aa kwenye giza
[outro: g3tta)
sina makuu
majuto mjukuu
so usilete
tantarire
ey ey ey
Random Song Lyrics :
- сохры (saved pics) - позже придумаю (i'll figure it out later) lyrics
- queen of fire - mz blue lyrics
- lately - kate hoffmann x flin lyrics
- зазіхаю (encroach) - yarima lyrics
- you blow my mind - thursdays love lyrics
- hossa - polska wersja lyrics
- living on the rocks - the korgis lyrics
- apple tv - theo steele lyrics
- schëdden - turnup tun lyrics
- he's talking again - henry phillips lyrics