lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

eenie meenie - g3tta lyrics

Loading...

(chorus)
eenie meenie miney mo
umenigeuza fungu la kariakoo
naomba po!
utaja ntoa roho ×2

you know
kwenye mambo ya ukuda me simo ( no! )
but i done heard about you
bado sikusikiliza watu
now yanapwaya mashati
kichwani ni we uko wapi
acha makeke
yeah!
najua utaki niteseke
naishi kwa mashaka
niko gizani
mwenzako me sina amani
nakua kichaa
kitandani
usingizi haupatikani
ni balaa
i used to call the shots
now nimestuck
sijui nianzie wapi
niimbe ama ni rap
wengine kw*ngu ma*wack
you’re the one that i want
but you just wanna have fun
leo na o jay kesho shaban
na me nibaki na nani
na me nibaki na nani
bora ni run
bora ni run
(chorus)
eenie meenie miney mo
umenigeuza fungu la kariakoo
naomba po!
utaja ntoa roho

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...