lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

all day - g3tta lyrics

Loading...

oh boy!
that’s right

(chorus)

my brother, my brother
make sure usije vunja chaga
kulala all day hainaga
kulala all day (oh no no)

woke up na bonge la njaa
baby anataka kujikataa
but she got that yummy yum
so a quickie won’t do no harm
g3tta gotta get that cake
g3tta gotta hit that ( ey! )
tumefunzwa vyema
ukishiba vyema
utoe na asante
j*po kuna ambao
hawataki kuona mwana
akiwa na mbawa
wanachachawa
hawataki usawa
tuwaache hawa chawa
kitaa ni songombingo
12 rounds hutoboi kwa ulingo
( naah ah ah )
yeah that’s right
hutoboi kwa ulingo

(chorus)
my brother my brother
make sure usijevunja chaga
kulala all day hainaga
kulala all day ( oh no no )

i be cheering myself
does it look like i need ya’ll help
hapa ni step kwa step
mdogo mdogo tunakava gap
im on a mishe
this issh is mo than addiction
stay outt my lane nipishe
usinkatishe
usinkwamishe ah!
been waiting for a longtime
hope its not too late
hope im on time
wana wanasema ni akikishе nimesmama me kama me
thеy be like: ‘g3tta, u gone get ’em ryt’ no pressure
niko mahili sina muda wa kucheka
all charged up sihitaji taster
im changing moves zaidi ya dancer
leo niko na moods za ki*monster
nakugeuza food yo my supper
stim za ki*rasta, usikatize hapa
ntakugeuza food uwe supper
i be changing moves zaid ya dancer
stim za kirasta
leo iko na mamood ya ki*monster

(chorus)
my brother my brother
make sure usijevunja chaga
kulala all day hainaga
kulala all day ( oh no no )

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...