tumeswatch - fotel lyrics
sounds of carena
fotel
uh!
heh!
tumeswatch (*tumeswatch)
jye..
(through his word tunawake up
blood tunawake up,)x4
(chorus)
tumeswatch! tumedoooz!
tumeswatch! tumedoooz!
tumeswatch! tumedoooz!
tokeni vitandani tukapreach word
tumeswatch! tumedoooz!
tumeswatch! tumedoooz!
tokeni vitandani tukapreach christ
tokeni vitandani tukapreach word
(verse 1- g5)
tume-swatch…. tume-dooz
time inadie, (life) tume-pause
governed by sin, na hatubreak laws
ikifika final year huezi change course
niaje amkeni, (huh) mnajaza madeni (huh)
k!ll sin,nalaunch campaign ka mp wa kaloleni (woooh!)
the groom anakam so wa kuenda wedo jo ogeni
kuna list kuingia heaven so ma-gatecrusher poleni, uh!
hussle kila day ndio uget thao (get thao)
heaven ukidedi huezi take thao
un’taka kujua weight ya thambi alibeba mbao
ka hujaniget, chop bible ndo ujue hooow…
(chorus)
(verse 2- trevor psalm)
kupreach christ mtaani ni maswali pause, pliz
anaspin world gani yetu ina axis
na k-mpinga kwangu funny najua ni tactics
ye ni friendly sana yani hafikiwi na tuskys
and fotel’s task is, kuamshana past this
kuachana basking, na ukristo plastic
tumeswatch and the church inalower drastic
mtu perfect haexist hata adunge practice
but
grace imetusave so k-mplease tunangangana
hatuezi camouflage si si wanyama savannah
so tuna kua heroes, tukiamini he rose
tukiachana kudozz, atuambie kudos
(chorus)
(verse 3- sequip)
tumeswatch, sisi tume..(dooz)
tunalenga works ka jonah ndani ya ship, ye (amedozz)
mashua inazama inabidi si tumekazana.. (kazana)
na bado tu mzae uko uko dozment!
wake up! wake up!
proceed with the ministry (ministry)
stay up! stay up!
preaching word ama sing, (ama sing)
spread the word, ka uko na ability, (ability)
time is now, not tommorow, hope you feeling me,(you feeling me)
naishi life ka game, (game!) 90 minutes of fame,(fame)
remain on track usibulge (usibulge)
we jua god is love,(god is love)
youre a christian hebu live up (live up)
bible hebu refer (refer)
ka umedozz hebu wake up, game on acha kulala!
(through his word tunawake up
blood tunawake up,)x4
Random Song Lyrics :
- panic attack - thoran james lyrics
- so numb - 7omoro lyrics
- love - iam$nick lyrics
- time machine - mitch jones lyrics
- feelingz - jones the ikomboy lyrics
- heroes are hard to find (single version) - fleetwood mac lyrics
- en machaerus - my epic lyrics
- when it comes to love - surface lyrics
- moving from place to place - adam thorton lyrics
- mesh nadman - mtm (rap) lyrics