omba - florence mureithi lyrics
gethsamane yesu aliomba, baba mapenzi yako yatimizwe, mungu kwa ajili yako na yangu kampa nguvu akashinda
nawe omba, omba, utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
dada omba, omba, utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
ndugu omba, omba utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
2 lyrics:
mtafute bwana apatikanapo, umuite sasa yukaribu
asema bwana unapomuita, hakika atakusikia
nawe omba, omba, utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
ndugu omba, omba, utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
dada omba, omba utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
3 lyrics:
omba usije ukaingia majaribuni eh ndugu,
usimame mkamilifu mbele za bwana daima
nawe omba, omba, utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
dada omba, omba, utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
ndugu omba, omba utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
tuombe, omba, omba, utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
wakenya, omba, omba, utafute uso wa bwana
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
tuombe tuombe, omba, omba, utafute uso wa
aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Random Song Lyrics :
- espiral - bruno pinto feat. sofía di marco lyrics
- bathory - marauda lyrics
- a distância e o cais - da lenha lyrics
- roast yourself casero - ami rodriguez lyrics
- 20,000 hours - james chmbrs lyrics
- moto - maya berovic lyrics
- episode - heilig ijs lyrics
- 110% - cael lyrics
- nbp - bedoes & lanek lyrics
- love i need - the living tombstone lyrics