lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wananiita king - fid q lyrics

Loading...

[intro: lamar]
talk of the town
lamar
i present to you, farid
it’s a fish crab cookout, uh
ha*ha
it’s a fish crab cookout
ah!

[verse 1: fid q]
nnapo flow ka slow motion ‘ni soo utadhani abortion
natokea lake victoria, flow zaidi ya indian ocean
na make hit songs ‘bila msaada wa promotion
huku na spit (?) mic nai*grab kama (?)
nipo deep zaidi ya blue sea
beef sif*gilii ‘mie (?) ‘nawapiga kama bruce lee
wananing’ong’a mchana kutwa, usiku wanakesha wananisoma
eti naungaga tu mistari ‘mikali kunogesha ngoma
wakati ya kwao wahesabiayo mikali sijawahi kuiona
tena na tena, wakipata zero wataitwa selfish
wawe wema wanapo [diss]
mie entertainer kama cedric, na rock kama chris
adui nnaweza mgeuza [brethren]
na punch zaidi ya boxing ring, ma*emcee ni kama dustbin
wako fake kama wedding ring ya whitney na bobby
cheki nnavyo lipuka kama wafuasi wa bin laden
cheki nnavyo ibuka ‘again and again
sijisfi kuwafunika, emcee naheshimika
utii unahitajika, siskii nnacho andika
wanaingia mitini kama tarzan
nnacho heshimu mimi ni yale maji ya hamsini ya azam
[chorus: fid q & nylon]
nnapo bounce, nawe bounce, ‘bouncе back kama tennis ball
kama una bang, ‘bang usikike zaidi ya gunshot
wananiita king, sababu na drop punches
kwеnye boxing rings naweza mkimbiza tyson
nnapo bounce, nawe bounce, ‘bounce back kama tennis ball
kama una bang, ‘bang usikike zaidi ya gunshot
wananiita king, sababu na drop punches
(yeah, farid kubanda)
kwenye boxing rings naweza mkimbiza tyson
(uh*huh, yeah)

[verse 2: nylon]
nilianza kama masihara ‘sasa na make dollar
ni mwanajeshi nylon ‘ni mchizi wa (?) mpaka leo mi bado nipo
wengi wanautaka ufalme, mi ndio kidume
wanafikiri kazi rahisi, wanaji*cosmetic [fair]
wanajipuliza perfume huku bado wananuka
wanajishangaa, ‘wanapanda, wanashuka
wanapanda, wanashuka
nishazoea (?) kitaa na wala similiki duka
kidume na*stick mwanzo mwisho ‘katu sitoshuka
wanak*mbuka shuka tayari k*mesha pambazuka
aliye tangulia, ka tangulia ‘hata ukilia bwana mdogo, jifunze kuvumilia
sifi njaa [nachoma tu kama] njaa
mtaani nakubalika ‘mi ndio chao kifaa
na show love na machizi ‘mi ndio chao kifaa
moyoni sina kinyaa, wakati ule mpaka leo
ndivyo nilivyo mimi haswa…!
ndivyo nilivyo mimi haswa
[chorus]
nnapo bounce, nawe bounce, ‘bounce back kama tennis ball
kama una bang, ‘bang usikike zaidi ya gunshot
wananiita king, sababu na drop punches
kwenye boxing ring naweza mkimbiza tyson
nnapo bounce, nawe bounce, ‘bounce back kama tennis ball
kama una bang, ‘bang usikike zaidi ya gunshot
wananiita king, sababu na drop punches
kwenye boxing ring naweza mkimbiza tyson

[verse 3]
sio supastaa ka michael jackson, ‘lakini u*fid q unanilipa
sio sana kama mike tyson, ‘lakini naamini nitashinda
ukinichukia ‘huku unanichekea ntakuacha unalia
kimbia [nnapo tembea] ka unataka kunifikia
nipo fresh kama cucumber
mjeshi bila magwanda, ‘cheki nnavyo [?] kama t.m.k. na mapanga
nimepita maasi kibao kama yule wa uganda
mwanza, mwanza (?) father utadhani jeru the damaja
mnasema eti ni njaa [?] kama ramadan
nashindana mwenyewe sababu hakuna challenger
motherland na represent kama baba lou [?]
kichaa kama [?]
smart zaidi ya [?]
uh*uh, ‘you can’t tell me nothing
kabla ya kukupa mkono kwanza naitemea mate
kujua ku*rap haimaanishi unaijua hip*hop
na kuongea chafu sio lazima u*tongue twist kama twista
nilipoanza muziki sikujua fedha itauharibu sikujua ‘mabinti wengi watataka ukaribu
tunashindwa kujiamini kiasi cha kukosa chaguo
nnavyo wasweka kabatini, kuwabadili kama nguo
[?] sio dharau na ni ukweli ‘muziki ni uhuni
mzazi muombee mwanao, mashetani yasimrubuni
nilipo na nilipoanzia [siko] nnapo hitaji nibaki
pia sihofii kupitwa ili mradi muda usiniache
[chorus]
nnapo bounce, nawe bounce, ‘bounce back kama tennis ball
kama una bang, ‘bang usikike zaidi ya gunshot
wananiita king, sababu na drop punches
kwenye boxing ring naweza mkimbiza tyson
nnapo bounce, nawe bounce, ‘bounce back kama tennis ball
kama una bang, ‘bang usikike zaidi ya gunshot
wananiita king, sababu na drop punches
kwenye boxing ring naweza mkimbiza tyson

[chorus repeat]

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...