nilipotoka - fid q lyrics
[intro]
ooh
(tongwe records forever)
starararararararrarararra
rararaarararara
bano!
rarara
hehe, yeah
[chorus]
ni mbali sana nnapotoka na nin*z*di kuta’ kwa kusonga mbele
ni mbali sana nnapotoka na nin*z*di kuta’ kwa kusonga mbele
ooooh woah
oh woah oh
oh woah oh
oh woah oh
oh woah oh
[verse 1]
yeah
na mmiliki cheupe manga na j*po na cheusi dawa
anga(?) zeka (?)
tajiri hebu twende sawa
ma bungalow’ na magari kama watoto wa bakhresa
kariakoo’ kwa muuza duka na thamani zaidi ya pesa
sio muuza sangara, mtaani wananiita ghetto professor
uliza dandara’ heshima kama dudu kisenza
waongo mnacheza’ nyie ni wa bongo na hii ndio yenu fleva
mnanipa kiinua mgongo nashukuru napata fedha
naeza k*mbuka nlichoona nikasahau jina la movie
unaweza ukashindwa kuisoma kwasababu tu ya maujuzi
kazi yangu mimi ni ku*create tu hizi roads na punch za mkono wa chuma kama mita au cyborg
na ning’iniza emcee kama cheni za gold kwenye kifua cha pedeshee, najuwa unanisoma, bwana sheikh
yo, na flow coz kuna f kwenye fid
ni mwanza coz kuna m kwenye emcee
now’ who else can it be? (who else can it be?)
niite ngosha’ ze don, na sio james j*po my words are bond
ina make dollar ina make sense, mafala wana act
acheni hayo masuala, kudadadeki!
nahitaji respect na sio stress ka krs
[chorus]
ni mbali sana nnapotoka na nin*z*di kuta’ kwa kusonga mbele
ni mbali sana nnapotoka na nin*z*di kuta’ kwa kusonga mbele
ooooh woah
oh woah oh
oh woah oh
oh woah oh
oh woah oh
ona’
nai change rock city kuwa rap city
yeah
ona’
uh huh
[verse 2]
yeah, natabasamu hata kama nina njaa
niheshimu’ kama rhymes ni majungu, kweli ufalme ni wa jamaa
historia hujirudia sio sana ka movies za chaplin
amani kwa ma*emcee na maprodyuza wazuri wa sampling
niko na customers’ sihiitaji kuwa hustle naenda nao ngazi kwa ngazi, usilete u*snitch wa donnie brasco
siogopi kukosea ndio maana wananiita mbunifu
n*z*di’ kuendelea na pakua hits kila siku
nasema, naongea, natema vitu viko deep
mapema naleta niliacha kugongea na (?) inakuwa sio ishu
nachukia kukosea na siwezi furahia kupotea
kimbia’ nnapotembea ka unataka kunifikia
na pia’ mi sina spea kama unavyo nisikia
najua vile unionavyo sivyo ulivyo nihisia
sichaguwi kama ombaomba kwa adui naeza kujikomba na ikamgusa,hata akiweka ukuta ka mjomba
mnajiuliza mimi nani, nawajibu mimi ni mtu flani
msomi wa kitaani’ nani anasema call me (?)
wapinzani siwaoni, mliopo gizani njooni kwa mfalme
mnayo fanya ndotoni, mimi nayafanya hadharani
(yaani mnayo fanya ndotoni, mimi nayafanya hadharani)
[chorus]
ni mbali sana nnapotoka na nin*z*di kuta’ kwa kusonga mbele
ni mbali sana nnapotoka na nin*z*di kuta’ kwa kusonga mbele
ooooh woah
oh woah oh
oh woah oh
oh woah oh
oh woah oh
rock city!
[hook]
ni mbali sana nnapo tokea
kuna mvua, jua kali pia
ghetto kibao
hi*i*yeaah…
ghetto kibao
ooh oh
ooh oh oo
[outro]
ma fam (?) understand
this is the king of the motherland
and just for the record, naomba mjue rock city hip*hop is back and running at full power
(yeah)
Random Song Lyrics :
- root morphology - berzan önen lyrics
- two of us - the tuba room lyrics
- jusqu'à la fin - klem schen lyrics
- star 69 - cky lyrics
- life - venfex lyrics
- we made a mess - crickettheguy lyrics
- better with you - jeff bernat lyrics
- don't deserve me - jeezy lyrics
- see me win - leonardo pierre lyrics
- empezar de nuevo (que pena) - nina cobham lyrics