fresh (remix) - fid q lyrics
[intro]
ma meen
tiddy hotter
[verse 1: fid q & diamond platnumz]
nikipata cash, nakua fresh kama cucumber
nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba
kwenda less sioni kesi mr. kubanda
yakiji*set, sikwepeshi naweka juu chanda
sio mtu wa kila mtu ila ni mtu wa watu
mtu shantu, kuntu na ni mtu mbavu
sio mtu kavu huyu mtu anautu na love (remix)
lakini sio mtu wa kila mtu na sio mpumbavu (yo)
[verse 2: diamond platnumz]
nilipo sikia beat tu nikatama nifanye verse
nikam*check ngosha akanambia simba mbona fresh
upesi upesi nikaandika ni murder case
na sasa ngoma kitaani imenuka kama kinyesi
i started young
kabla sijaitwa chibu denga
enzi hizo naitwa domo, siku hizi eti lipsi denda
fresh
baba tiffa mwaniita baba nillan
naskia naitwa baba abdul, kuna mambo mtaani
fresh
mzuka ukipanda wakata viuno kama vanga
kwa beat ya kubanda inayobakwa na muuza karanga
ukinichukia sikosi hela, hivyo kw*ngu sio case
kuni*compare na sinderera haiwezi kuwa fresh
simba
toka mbuga ya tandale
naona swala wanna force tuwe sarе sare
viuno vidogo wanataka penzi ya pepе kale
si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale
[chorus: fid q]
fresh
fresh
fresh
fresh
[refrain: rayvanny]
waambie mjini shule
wasitamani
vyote vimelipiwa
kama ukipenda vya bure
leta sahani
utapakuliwa
kipofu kuendesha gari (fresh)
kwenda kwa miguu zanzibari (fresh)
wabunge kucheza kamari (fresh)
masela kula ganja na askari (fresh)
[verse 3: fid q & diamond platnumz]
silverfox kama barabuu au wandiba
ninaitwa boss na nina*ball kama babangida
ah
fresh off the boat niko zanzibar
ninai*smell karafuu nikiwa na candy bar
(candy bar)
fresh kama pipi ya mint
pipi ya binti
au pp ile pp ya lift
p ya please au fresh ya pf3 ya police?
iko weird unaweza ingia na wakazuia release
[refrain: rayvanny]
waambie mjini shule
wasitamani
vyote vimelipiwa
kama ukipenda vya bure
leta sahani
utapakuliwa
bhakresa kuokota siso (fresh)
kula chapati kwa kijiko (fresh)
rihanna kuimba mdundiko (fresh)
uncle magu kwenda disco (fresh)
[verse 4: fid q]
wana hela ya kuwapa
kutoka jasha pasipo na mbio
au hela ya hapahapa
ya kwamba huwezi panga hata deal
wajiweke fresh, fresh
kabla ya hii fresh haijawajuza
cash cash inafanya boss lady asake mabuzi
asitake makuuzi asilale peke yake apate utatuzi
tupo fresh
tumekua siku hizi sio watu wa maujiko
hatuna case ikiwa manyunyu ya mvua kwa siafu ni mafuriko
he he he
fresh
[chorus: fid q]
fresh
fresh
fresh
fresh
[outro: diamond platnumz]
(wasafi records)
yo
eti ni fresh kubanda kubana pua
au kwenye miiko ya hip*hop atakua amezingua
Random Song Lyrics :
- state of mind - nf ravi lyrics
- dziewczyna szamana - justyna steczkowska & leszek możdżer lyrics
- first time - is0kenny lyrics
- ulcère - eden dillinger lyrics
- vroom vroom (live) - charli xcx lyrics
- to be true - harold melvin & the blue notes lyrics
- way - ygnor lyrics
- heaven gates - jaydayoungan lyrics
- nasa - sunshine christo lyrics
- scared to fall in love - k-odd-ik lyrics