
dunia nzima - fid q lyrics
[intro]
yeah, yeah
oh, why (su casa)
hey
[chorus: fid q & mad ice]
acha (?) anazo nipa
ni mtu wa peace and love
ni kama (?) mama afrika ‘amejazika (?)
napenda sana jinsi alivyo, ‘huyu mtoto wa mama
dunia nzima sijaona, ‘anaye fanana
uh
acha (?) anazo nipa
ni mtu wa peace and love
ni kama (?) mama afrika ‘amejazika (?)
napenda sana jinsi alivyo, ‘huyu mtoto wa mama
dunia nzima sijaona, ‘anaye fanana
[verse 1: fid q]
ngozi yako laini ka [alizeti]
una shine zaidi ya vaseline
mguu wa kuvaa pensi, ‘au mini*skirt ya jeans
huku fid q nmevaa tshirt yenye picha ya bin laden
au ya mtoto wa dandu
mungu mlaze pema, amen
moshi kwenye mapafu, kwenye figo ‘barcadi
hatuchoki kwenda [candle] ‘kwenye full moon party
you’re my future baby mom, shake your booty, ‘bam, bam
mtamu zaidi ya danish cookies, ‘groupies chukueni time
uh, sio matusi ‘mapenzi kizungumkuti
mtoto una ngozi laini sio kama mgongo wa mjusi
hauna michongo ya kiuzushi ‘au longo longo za kipuuzi
kidogo (?) kama tom yule kwenye movie
(baby girl)
baby girl ‘nipe nafasi hard*core
na thamani zaidi ya almasi toka sierra leone
ni “mwanza mwanza” halafu ni staa (?) scandal
mtoto wa ghetto, mrembo (?) najua ku*handle
[chorus: fid q & mad ice]
acha (?) anazo nipa
ni mtu wa peace and love
ni kama (?) mama afrika ‘amejazika (?)
napenda sana jinsi alivyo, ‘huyu mtoto wa mama
dunia nzima sijaona, ‘anaye fanana
uh
acha (?) anazo nipa
ni mtu wa peace and love
ni kama (?) mama afrika ‘amejazika (?)
napenda sana jinsi alivyo, ‘huyu mtoto wa mama
dunia nzima sijaona, ‘anaye fanana
[verse 2]
[sijikii]
kama (?) pande kwa tyson
[ingawa]
kama (?) prezzo naleta action
macho yako ni mazuri na pua ya michael jackson
ndio muhimu kama nauli kwa abiria ‘bus station
juu yako mi na passion
mpenzi’ wala sio fashion
fanya nijiskie ‘okay, nipo ndani ya love session
unavyo dress mama unitii shaka
fresh kama nnavyo taka
cash, nipo fresh, nipo race ‘kwenye kuzisaka
sigongi copy feki, kwako nimezima fegi
hazikabi beki, kwako nimeshusha begi
ile kinyama kama ngorongoro au serengeti
full ile laana ‘hauna kasoro my sweet lady
w*ngu wa ubani sasa macho yangu sitamani
iwe kwa basi, boti, treni au flight ‘njoo ujumuike nami
(?) si mtu mbaya kama baniani
haki sawa ‘afrika, ulaya yote mambo ya duniani
[chorus: fid q & mad ice]
acha (?) anazo nipa
ni mtu wa peace and love
ni kama (?) mama afrika ‘amejazika (?)
napenda sana jinsi alivyo, ‘huyu mtoto wa mama
dunia nzima sijaona, ‘anaye fanana
uh
acha (?) anazo nipa
ni mtu wa peace and love
ni kama (?) mama afrika ‘amejazika (?)
napenda sana jinsi alivyo, ‘huyu mtoto wa mama
dunia nzima sijaona, ‘anaye fanana
[outro: fid q]
uh, uh, uh
uh, uh, uh
uh, uh, uh
uh, uh, uh
Random Song Lyrics :
- something in the water - the henry clay people lyrics
- the band plays as we all go down - mxpx lyrics
- thoughts of a loner pt. 2 - schama noel lyrics
- building up - young diamond lyrics
- angel of peace - jonas lyrics
- opposites day - lloyd cole lyrics
- retirement - sledding with tigers lyrics
- rolling thunder - lump lyrics
- here's to the horses - the irish rovers lyrics
- demon on the drums - sargasso trio lyrics