danger - fid q lyrics
[intro]
oh!
(instrumentals)
hey!
[chorus]
i’m lookin, she lookin
i love the way she ‘work it
she grindin’, i’m grindin
(haha)
i love the way she ‘twerk it
(what?)
danger
[?], ‘hatari, hatari
danger
[?], ‘hatari, hatari
danger
that danger, danger
hatari, hatari
danger
danger..
yeah
[verse 1: fid q]
groupies wapo, tena lukuki
wapo cute zaidi yako, unaweza sema mie mzushi
laini kama sufi, ngozi yako, maufundi yako
sina budi kuja kwako, mwenzako nakuomba urudi
sijala tangu juzi, siwezi lala bila mood
kama fala umeni*confuse, mie wala hata sina chuki
(uh)
suit [?] kama ni harusi ndio unataka haujuti mie rapper hapa napata saluti
they shoot
…
i made you look
so love, leta love song kwenye rhyme book
fid q sio mtu wa juu kwa juu
as you see i can’t [?]
so, i do love you
[chorus]
i’m lookin, she lookin
i love the way she ‘work it
she grindin’, i’m grindin
i love the way she ‘twerk it
danger
[?], ‘hatari, hatari
danger
[?], ‘hatari, hatari
danger
that danger, danger
hatari, hatari
danger
danger..
[verse 2]
i see it ‘in your eyes
that you’re the freaky kind
checkin’ that the way your body moves
got me in the corner (?) you
[?] so maybe soon
(uh)
i’ll be in the corner [?] through
i do
(i do)
i do
(i do)
ha*ha
oh, make that move
[verse 3: fid q]
kama alivyo [chinese chihuahua]
hizo kucha uko sawa
mzuka mama, umenivuta sana ‘nimepagawa
nitakupa flowers
napenda jinsi we binti ulivyo mtulivu, msikivu, sio mvivu, [mdhabibu]
nikinge bandidu, nisife kwa wivu
hakuna [?] sana itaniuma ukinuna
nitajituma mie msuk*ma, kunichuna mama sio ishu
sweet zaidi ya ndizi za [?], zaidi ya sukari, zaidi ya hatari
una figure fulani kali
oh…
[chorus]
i’m lookin, she lookin
i love the way she ‘work it
she grindin’, i’m grindin
i love the way she ‘twerk it
danger
[?], ‘hatari, hatari
danger
[?], ‘hatari, hatari
danger
that danger, danger
hatari, hatari
danger
danger..
[verse 4]
mkulima akimeza mbegu, jembe halikosi mwenyewe
nahisi niliumbwa ili unipende, yaani sio lazima unielewe
naweza toa lakini mimi nisipewe
mimi naweza taka kuoa kwenu wakakataa usiolewe
haujali kulala ghetto, kuzi*shampoo hizi rasta
kama dansa wa [loketo] ‘juu ya fid q unavyo kata
we kuwa na mimi, yeah, usilete usumbufu
wasikutishe kwa vimini tayari ushanivisha [?]
ulivyo ni tega ili kuonesha hisia zako
nitakupenda zaidi ya unavyo jipenda, zaidi ya mbwa wako
nasinzia nikikuwaza, ‘j*po sio wahu
nakufikiria fasta, moyo una kimbia ka babu
nasikia sikuhizi mapenzi hayaendi bila cash
[?] ukipenda mtu, kaa na kitu usimuoneshe
(usimuoneshe)
na wenye nazo hawajatulia, wanawakatia mikwanja, wanawatumia, wanawaacha, wanakimbia
[chorus]
i’m lookin, she lookin
i love the way she ‘work it
she grindin’, i’m grindin
i love the way she ‘twerk it
danger
[?], ‘hatari, hatari
danger
[?], ‘hatari, hatari
danger
that danger, danger
hatari, hatari
danger
danger…
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- complex - zero lyrics
- balance - txylor lyrics
- fau i got - cresp joe lyrics
- going hame - lil insane brain lyrics
- 28평 (28 pyeong) - no:el (korean) lyrics
- riches to rags - nappy roots lyrics
- reflexionando - aryon mc lyrics
- reality check - wc and the maad circle lyrics
- te vas a arrepentir - triple xxx lyrics
- small side effect - the body rampant lyrics