lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

njoo - ferooz lyrics

Loading...

[intro]
oh yeah
niskie, niskie nnachosema
(ferooz)
daz nundaz pia ndivyo wanavyosema
rudi kw*ngu
rudi kw*ngu, sweetie (yo)

[verse 1]
lawama toka kwa daz w*n*lalama shemeji yao mbona umewatelekeza
scout jentaz nao wanashangaa, eeh!
mbona ghafla umeniacha kwenye giza aah…
mpaka sasa sijagundua’ wapi moyo w*ngu nitaenda kuutua…
wewe ndio w*ngu pumziko, sasa mbona waniacha kwenye mafuriko?
wewe ndio w*ngu pumziko, sasa mbona waniacha kwenye mafuriko?
tulishaweka nadhiri na kuapa mbele ya bwana’ milele hatutoachana
mashuhuda wetu walikuwa malaika wa bwana
sasa mbona leo unanikana?
mwisho wa safari haujafika, ghafla moyoni mw*ngu umeadimika (i and i)
bara, visiwani, mbuga na nyika nakutafuta labda nitafarijika
mashariki, magharibi, kas na kusi nakutafuta’ bado tu umeadimika
nafsi ina fadhaika, nina taabika, rudi kw*ngu bado unahitajika (njoo)
njoo uniokoe kwenye gharika, mauti yatanifika, mwishowe’ nikose wa kunizika…
njoo, njoo, mpenzi njoo

[chorus]
mbona unaniruka, mbona unaniruka
acha kunigeuka laazizi
mbona unaniruka, mbona unaniruka
acha kunigеuka mpenzi
ona wanasema sana, njoo… eti tumеfarakana
njoo
ona wanasema sana, eti tumefarakana
njoo
(instrumental break)

[verse 2]
oh, yeah
unh*huh
what a gwan’ rude bwoy, rude bwoy
eti wanakushauri kwamba mimi sifai’ na ukurudi kw*ngu eti utapata kizaizai
kila wakitamkapo wanawahi kusambaza unafiki hawak*mbuki hata kunywa chai
achana nao wanafki waliokosa hoja
walichongoja ni si kutokuwa pamoja
huoni w*n*leta vioja, njoo tuwe pamoja tuanze kujikongoja
daz ndio kwa ma soldier, soldier kwanza ngoja
unh*huh
check, check
unh*huh
sintoacha kuimba…
sintoacha kwasababu moyo w*ngu mimi mwenzako unashindwa’ kuvumilia
kila nikilala naweweseka, nateseka, kwa ajili yako fanya kunihurumia
ni vigumu kuamini kwamba bega langu la pili eti leo umenikimbia
maswali mengi najiuliza’ ni kitu gani mpenzi kilicho kukimbiza
au labda uf*kara w*ngu, moyoni mwako ulikuwa una kuchukiza
mapenzi uvumilivu, uaminifu, pamoja na kuk*mbana na vikwazo’ uwe tayari
nasi tumetoka mbali, kwenye safari tumevuka mito, maziwa na bahari
leo umeniacha pekee yangu nateketea jangwani mpenzi hata hilo we hujali
mpenzi rudi nyumbani mwenzako mimi umeniacha kizani
njoo mpenzi’ sina tofauti na ndege aliyekatwa mbawa sasa siwezi paa angani
njoo mpenzi’ kama nimekosa nisamehe
tafadhali mpenzi rudi nyumbani
njoo mpenzi’ ukiniacha utakatili nafsi yangu, usababishe mi nihame duniani
njoo mpenzi’ sikia hata majani anatumia mdundo kukubembeleza honey
njoo…
(njoo)
[chorus:]
mbona unaniruka, mbona unaniruka
acha kunigeuka laazizi
mbona unaniruka, mbona unaniruka
acha kunigeuka mpenzi
ona wanasema sana, eti tumefarakana
njoo
ona wanasema sana, eti tumefarakana

(instrumental break)

(whistling)

[outro:]
“mbona unaniruka, mbona unaniruka, mbona unaniruka
njoo, njoo
mbona unaniruka, njoo, njoo, njoo, laazi…”
(fades away)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...