suspect - femi one lyrics
mmh aah yeah.. suspect
tv ikipotea kwa ploti si ndo masuspect
msupa ratchet, body form perfect
ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket
mmh aah yeah.. suspect
bangi ikitupa kwa ploti si ndo masuspect
it’s like i’m on a plane n*gga you ain’t got yet
napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic
verse 1:
mmh aah yeah.. suspect
your hubby kwa choo na simu femi ndo suspect
denno ananichapia tushabadili bracket *
ya taxes tuliwachanga kuball on a budget
maisha soft, money talks, shika accent
kamati juu ya mawe, riba? mi ndo subject
ni marathon na mnashindana nani fastest?
the madness!
na’after miezi saba wee ni past tense!
kusaulika na kusonga na wakati
studio kunapikwa kama balcon ya ombachi
na wafuasi wako njaa na waanabambanya ya munchies..
miupakua msosi wanagawanya mabakshi..
pewa moja, pewa mbili za lunchez *
nina wingi wa mate
niki tema inahappen
funga hatrick kwa finale kama kyliyan mbappe..
ni femi uno, si wawili ni mjaste
hook:
mmh aah yeah.. suspect
tv ikipotea kwa ploti si ndo masuspect
msupa ratchet, body form perfect
ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket
mmh aah yeah.. suspect
bangi ikitupa kwa ploti si ndo masuspect
it’s like i’m on a plane n*gga you ain’t got yet
napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic
verse 2:
skuizi nakula table moja na bosses
they can’t beat me wanataka tujoin forces
wanaforce sana ndio iwaprofit na nipate losses
hardworker ndio sa nakula io fruit ya kutrust the process
wanajua i’m winning it
nimetoka chini na nimebeba upini ka rap haina maganji bro ntauza kidney
hawa marapper finicky wanauliza ni nini
niko kazini g
no menopause flow kwa ulimi tight virginity
huh
sorry
if you ain’t heard of katavelli
kusema ukweli
nak*mbuka kitambo wakinikejeli
sai ndio sauti iskike kwa izo mitambo you gatta pay me
had a dream an angel told me pray and god will never fail me
buo buo!
military mindset
kama si pesa haunipati kwenye handset
vile nachapa kazi lazima nikafunge
nairobi nigeria wanashtuka funke!
chorus
mmh aah yeah.. suspect
another beat another murder, mi ndo suspect
muosha marapper apa daily bila detergent
incumbent, female emcee the best under the sunset
w*n*lalisha wapewe duvet na mattress
hii mziki ikona wenyewe, compee ni heartless
kitu muhimu uelewe na ng’aa regardless
jaribu kunipima wazimu nkufanye absent
look ni clean n’piga look to k!ll
handset inavibrate nacheki “who this be”
mic check, show promoter afike booking fee *
nna flu this week next week niko full degree ugh!
dynamic duo kataveli na queen
matapeli kwa telly nacheki daily w*n*link
krrrrr
kazi nyepesi, kazaneni nanii
si tuko very kwa meli mtangoja sana tusink
hook:
mmh aah yeah.. suspect
tv ikipotea kwa ploti si ndo masuspect
msupa ratchet, body form perfect
ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket
mmh aah yeah.. suspect
bangi ikitupa kwa ploti si ndo masuspect
it’s like i’m on a plane n*gga you ain’t got yet
napenda mzigo natural toka apa na hiyo plastic
Random Song Lyrics :
- even to the ends of the earth - jeremy dalton lyrics
- царская(royal) - 4души (4souls) lyrics
- montero (sam scum diss) - nos man jr lyrics
- back up - bouz lyrics
- what you're looking for - eric champion lyrics
- stop cappin stop flexinn - kwezzie capone x money marcc lyrics
- yeni gitar (rockstar pt.2) - lumiboi lyrics
- jaja ( ronnie flex remix ) - rack$bow lyrics
- neon freestyle - calumet hawk lyrics
- uptown - psycho rhyme lyrics