lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

freddy krugger - femi one lyrics

Loading...

simu flight mode niko kwa flight mode for real
never knew nitacatch flights just from dreams
k*mbe ziucome true come view skiza witness
victim of my own strengths and my weaknesses

skuizi mpaka kilami na bonga me donga
before nikushukuru kwanza mungu siyabonga
juu huku niko kuko better than kule natoka
lakini home iko kwa damu roho huaga compass

nakeep eye contact na hater ndio animezee
natema ndio akiniskiza kisiri animezee
mate kwa pseudo it’s obvious that you know
ikishafika kwa mental memento ni uno

ka myth ya mariwaana miaka saba
miaka saba plus nyongolo bado na kaba
na surpass my lifespan maverse bado surplass
purpose na serve mpaka nipakue my last supper

nadishi kwa mеza mti niliipiga shoka
nikaitengeneza na nika jеnga sofa
rap nikiitwa chair lady hautakua umekosa
jikosoe hatufanani hiyo ni adabu umekosa

naheshima me siitishi
mtanipea bado mtaleta bila ubishi
before sue ombachi niliwaonyesha upishi
w*n*leta chuki jikoni na nimeshika visu

femi freddy krugger watajuta
niko kwa scene nawacheki vile tu mnakuja
watashtukia ni wembe wakithani ni makucha
wacha panya watawale niko europe tu ntakuja

niko kwa jam nacome nyi mnajam na jam
me na fam tunaplans bigi,can’t understand
juice worth the squeeze,chumz worth the be biz
i’m so high na success bila filter na riz ni eazy

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...