feelanga free - femi one lyrics
me and my cousin
zakah mwenye gees
nimerudi kwa kazi
uuuh yeah, uuu
uuuh yeah, uuu
feelanga free, feelanga fresh
kwa hawa madem i am the best
na hawa maboy pia nawastress
feelanga free, feelanga fresh
feelanga free, feelanga fresh
kwa hawa madem i am the best
na hawa maboy pia nawastress
feelanga free, feelanga fresh
masela nafunza my people
mawera naingiza malipo
nakera malooser na hii flow
mahater mnacheza na kifo
mavela navuta na kiko
maflavor napika na jiko
cholera naunda na symptoms
hongera mi buda wa hiphop
kwa jela nakuja na freedom
danger umekutwa na dingo
kinena nasunda ma weapon
mbleina punguza maringo
ndeng’a ni chuma kwa shingo
hema umetema ka figo
natema miujiza ya kristo
hwema imegeuka tatizo
graphitti ni mimi kwa track
mabinti naamini kwa club
mafisi waziri kwa works
kasisi na injili kwa church
gaidi jangili na guns
maskini tajiri na grudge
shahidi wakili na judge
wakidi wa mjini na njaa njaa
feelanga free, feelanga fresh
kwa hawa madem i am the best
na hawa maboy pia nawastress
feelanga free, feelanga fresh
feelanga free, feelanga fresh
kwa hawa madem i am the best
na hawa maboy pia nawastress
feelanga free, feelanga fresh
niliprove naweza swim deep end
move ka bigfish kwa ocean
na bikini ya dolce
show up kwa scene na porsche
ngoja pace ya life show ijipe
homeboy look fly weekend
nakatwa kama ticket
we hutokwa kama reject
tips kwa nini nisikupe
first of all usiwe kupe
hata ka you the cutest
usiitishe pesa ya cutex
dress wacha iwe fupi
designer bra na chupi
nyepesi na ka uzi si lazma pesa stupid
isifike size ya ngori
shak!lla live ya tori
keep it classy si hatuworry
cloutchase kwa insta story
dera bila kitu ndani
fanya kitu hakudhani
mfikishe mombasani
nimekuwa bi. mswafiri
feelanga free, feelanga fresh
kwa hawa madem i am the best
na hawa maboy pia nawastress
feelanga free, feelanga fresh
feelanga free, feelanga fresh
kwa hawa madem i am the best
na hawa maboy pia nawastress
feelanga free, feelanga fresh
omba sir god nikuache na peace
naroga warogi waaibike kabisa
nyonga matothi waalike mazishi
mboka ni ngori waskize maandishi
shoka shingoni wachinje na beats
nimetoka migori niskike eldy
dr king’ori na weekend edition
reporter na stori za vile naishi
shang’ala bangala songa na hii
naacha na busara ni blomazivil
pata hasara ukibonga na beef
namwaga madhara unakonda tb
mambo ya mafala na ngoma za d
wakamba wahala bungoma kisii
namanga kampala na border tz
namurder mcees
feelanga free, feelanga fresh
sinanga id na care less less
sinanga pin ya kra
ita police wani arrest rest
Random Song Lyrics :
- cigarettes - several other ghosts lyrics
- ain’t right - nocap lyrics
- amizade - epaitxoss one lyrics
- band music - okamoto's lyrics
- marlboros - trashedsnowman lyrics
- bah ouais - ti-yo lyrics
- clairvoyance music - ry's (fra) lyrics
- sesh snatcher - gang shloink lyrics
- reason - yoari lyrics
- oh baby ! - piri lyrics