lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

pepea - fadha king lyrics

Loading...

yeah……….loloooh loloooh loloooh
fadhaking tena
hayaelezeki mapigo ya moyo w*ngu yamesimama
hayaelezeki kinywa kizito siwezi semaa
hayabebeki nliyobeba mazito moyoni jam
hayasauliki kinachoniumiza ni mazoea

napiga cm, napiga, napiga ikikata
napigaa, natuma sms, natuma
an*z*soma, anavunga moyo
sindano za sumu, kaudungaa kilema
sitembei, kanivunja, najua bila yeye mi siwezi
na ndio maana ananitesa

ohh penzilimepepea
limepepea
limepepea

wajanja wamenzidi kete
limepepe mhhhh limepepea mhhhh
limepepea si ndio yeye alisema tuzikwe wote
loloooohh loloooohh lolooloohh

au nenda unapoenda, unapoamini utapata furaha
uliokosa kw*ngu nenda, sikulaani ila dunia duara
ninavolia, si unapenda
so kuniacha umenitangazia mabaya
sio hadhi yako nenda ukua nami nilikulazimisha aahaaa
napiga cm, napiga, napiga ikikata
napigaa, natuma sms, natuma
an*z*soma, anavunga moyo
sindano za sumu, kaudungaa kilema
sitembei, kanivunja, najua bila yeye mi siwеzi
na ndio maana ananitesa

ohh penzi limepepea
limepepea
limepepea
wajanja wamenzidi kеte
limepepe mhhhh limepepea mhhhh
limepepea si ndio yeye alisema tuzikwe wote
loloooohh loloooohh lolooloohh

napiga simu, napiga, napiga ikikata
napigaa, natuma sms, natuma
an*z*soma, anavunga

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...