lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kwanini - ezzy skillz lyrics

Loading...

hivi kwanini sikuhizi you don’t care
yah say you don’t care
hivi kwanini sikuhizi you don’t care
yeah yeh you don’t care

aah
kweli kupenda sana ni tatizo leo naamini
kwako nilivyozama lawama swali kwanini
sina kauri kwenye kuliongoza penzi
siwezi hata shauri kama me siyo wako mwenzi
kwanini upendo wako umekuwa hafifu kw*ngu
tizama haunithamini n*z*di umiza moyo w*ngu
kwanini ama sina pesa na magari
ndiyo sababu we un*z*di nitesa na yangu hali
kwanini ama sijui kuvaa sina swagg
mbona kitaa wananiita star ilimradi
ya nini malumbano mbona huwezi tena nena
ama ndiyo ushavutiwa na penzi la manyangema
hebu sema kwa kina ni kipi kimekusibu
na unaponyamaza kimya me n*z*di kosa jibu
au nilikukosea hukuniambia una revenge
jaribu kunielezea ntakuelewa and don’t pretend girl

sina imani na mapenzi yako anymore
umеbadilika sana tabia zako and you know
kutwa ni kesi za mashoga zako we somo eeey
naomba punguza hizo drama zinaumiza roho
kwanini
kwanini
kwanini usitulie
utuliе na mimi
na mimi
kwanini usitulie

hivi kwanini sikuhizi you don’t care
yah say you don’t care
hivi kwanini sikuhizi you don’t care
yeah yeh you don’t care

kwanini inanikondesha sina hatima ya lengo
naimani itanipa pressure kuliziba hili pengo
ishanifunga minyororo mawazo yashaniharibu
sauti yako nyororo ndiyo inaweza kunitibu
aah niambie babygirl nikipi nimekosea
kimaisha naweza nika fail ukishindwa nielezea
maana maswali mengi ila majibu ndiyo sifuri
naanza kuamini haunipendi naiyona roho ya kiburi
wapi nilikosea.. wapi sikucheza fair
mangapi yalitokea.. na ukaamini nilikuonea
aah niweke wazi usiri siyo diri
“dili ni wawili de ting how we feel it”
tupande ngazi just wewe na mimi
“tukiwa wawili niamini we gon win it”
neno kwanini lasumbua kichwa changu
nieleze mamii ni lini utaipumzisha nafsi yangu

sina imani na mapenzi yako anymore
umebadilika sana tabia zako and you know
kutwa ni kesi za mashoga zako we somo eeey
naomba punguza hizo drama zinaumiza roho

mara unipe mapenzi uninyime mapenzi
(kwanini usitulie)
unipe mapenzi mara useme hauwezi
(kwanini usitue)
mara unipe mapenzi uninyime mapenzi
uninyime mapenzi useme hauwezi..

written by ezzy sk!llz
2020©

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...