gudi gudi - everlast band lyrics
(it’s jegede on the beat
[chorus: everlast and naiboi]
cheki mwanaume nimekula sembe
juu mpaka chini niko na zigwembe
twende muliro tukunywe c-ke fanta aaaaaaa
cheki mwanaume nimekula sembe
juu mpaka chini niko na zigwembe
twende muliro tukunywe c-ke fanta aaaaaaa
na tuko tu pacho kwenye boss iko nini
[hook: everlast]
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
gudi gudi la gudi gudi la
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
gudi gudi la gudi gudi la
[verse 1: naiboi]
naiboi (kwani boss…)
kusema kweli baby mi ushanichanga
ntakulinda kama kuku na vifaranga
na mimi sitakucheza kama kandanda
nikikucheki roho hupiganga kama kinanda
nacheki kuna so much more
njoo unipe me alone
wachana na hawa ma yo yo
mi sinanga story noooooo
kwa keja yetu viti zina makitambaa
na mother hatakangi nilete wasichana
so baby twende tupitie route panya aaaaaaa
[chorus: everlast]
cheki mwanaume nimekula sembe
juu mpaka chini niko na zigwembe
twende muliro tukunywe c-ke fanta aaaaaaa
[hook: everlast]
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
gudi gudi la gudi gudi la
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
gudi gudi la gudi gudi la
[verse 2: everlast]
baby njoo unipe gudi love
nikupe everything you deserve
napenda ukidunga biker
unafanya nashikwa na rohoo
najua baby umenimiss
kalips kako poa nipe kiss
yours it should fit
hakuna mafisi we ndo w-ngu my miss
ile neno vile unavyozungusha zungusha
ushanimaliza unanichizisha chizisha
napenda unavyosmile toka far
so gudi gudi let me take you cruising to dubai
[chorus: everlast]
cheki mwanaume nimekula sembe
juu mpaka chini niko na zigwembe
twende muliro tukunywe c-ke fanta aaaaaaa
[hook: everlast]
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
gudi gudi la gudi gudi la
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
gudi gudi la gudi gudi la
[verse 3: kristoff]
nataka twende home tukule uganga (nga nga)
na mapaso baby nimejipanga
niandaje kama habibu na manga
can you imagine baby girl kifaranga
ukuje kama odijo maodiro
juu nimechoka kukuchungulia kwa diro
mimi ni baba one mi si baba zero
najua unanichocha nione kama filo
shake your b-m b-m
nipe namba
juu umebamba siezi kuvutavuta kama kamba
shake your b-m b-m
nipe namba
juu umebamba siezi kuvutavuta kama kamba
[chorus: everlast]
cheki mwanaume nimekula sembe
juu mpaka chini niko na zigwembe
twende muliro tukunywe c-ke fanta aaaaaaa
[hook: everlast]
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
gudi gudi la gudi gudi la
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
baby njoo unipe gudi gudi
gudi gudi la gudi gudi la
Random Song Lyrics :
- en cancún - marisela lyrics
- jade harris got a virus - internet cancerous bloodspillaz lyrics
- basic - boys city lyrics
- vrána k vráně - yzomandias lyrics
- part of me - dr. rubberfunk lyrics
- historia rzk - kula lyrics
- track 6 t - '68 lyrics
- somos incomparables - el plan lyrics
- what you hear - radio killed the hip-hop star lyrics
- rapport - mehdi black wind lyrics