mbele ninaendelea - ev. elizabeth nyambura lyrics
mbele ninaendelea nin-z-di kutembea maombi uyasikie eeh bwana unupandishe,
ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote ee bwana unipandishe,
sina tamaani nikae mahali pa shaka kamwe hapo wengi wanakaa kuendelea naomba,
ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote we bwana unipandishe,
nisikae duniani ni mahali pa shetani natazamia mbinguni nitafika kwa imani,
ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote ee bwana unipandishe,
nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe,
ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote ee bwana unipandishe,
mbele ninaendelea nin-z-di kutembea maombi uyasikie eeh bwana unupandishe,
ee bwana uniinue kwa imani nisimame nipande milima yote ee bwana unipandishe (×2)
Random Song Lyrics :