lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

staga nikimedi - ethic entertainment lyrics

Loading...

[intro: zilla]
waiter ova ma*ova
guza mkoba ma*ova
guza nka una cha gova
nitaendea ova kwa gova

[chorus: rekless]
ambapo anapendanga madeni
ka ni kukata anakatanga ma*henny henny
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi
mi ujali ganji na ladies
mi ujali money so nataka many many
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi

[verse 1: rekless]
ati staga nastaga nikimedi
juu ya maji umededi ama tu umebleki
na umenoki wendy ama pia na becky, sawa
ngoja nianze kukata keki, nawa
we ni ka kabambe ju jo hauna class
mi niko na money nipate kwa bar
cheki ni funny umevaa kama fyat
fyatu mathare baadae ni fun
[verse 2: swat]
hii wikendi naskia kukata ka keki
naskia kukata bado henny
pime peddy round moja aniseti
piri we mrazi pigwa ting’ ting’
ye ni diva na anakatika na chupi
ringi keroma haweki chumvi
zikishika mi nawashanga ki hoodi
ringi keroma haweki chumvi

[chorus: rekless]
ambapo anapendanga madeni
ka ni kukata anakatanga ma*henny henny
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi
mi ujali ganji na ladies
mi ujali money so nataka many many
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi

[verse 3: seska]
penda, mi napenda vile baze tu ubweka
nipe chingri tujilipue tena
na kipipu tutachafua tena
kenya na pipu doni pewa
ka we unatoka kariakor
medi seti twendee form
chain madancey ndo ati mtaa
hii ndo base tu sing along
[chorus: rekless]
ambapo anapendanga madeni
ka ni kukata anakatanga ma*henny henny
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi
mi ujali ganji na ladies
mi ujali money so nataka many many
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi

[zilla]
waiter ova maova
guza mkoba maova
guza nka una cha gova
nitaendea ova kwa gova

[verse 4: zilla ]
ati avocado kwa dibre
avocado kwa gith
avocado kwa mixer
avocado kwa jing
avocado after gym
avocado za green
avocado kwa meal
before meal, after meal
[chorus: rekless]
ambapo anapendanga madeni
ka ni kukata anakatanga ma*henny henny
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi
mi ujali ganji na ladies
mi ujali money so nataka many many
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi

[chorus: zilla & rekless]
ambapo anapendanga madeni
ka ni kukata anakatanga ma*henny henny
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi
mi ujali ganji na ladies
mi ujali money so nataka many many
staga nastaga nikimedi medi
staga nastaga nikimedi medi

[outro: ]
avocado kwa dibre
avocado kwa gheede
ati avocado kwa mixer
avocado kwa jing
avocado after gym
avocado za green
avocado kwa meal
before meal, after meal

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...