lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

odinare - ethic entertainment lyrics

Loading...

yeah ah ati twende 1 eeh sa ntadu?
sa atajidai ye fyatu
ah twende 2 ah mi ndio buda
we bado broman mi **
ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa
unacheki mwewe ya kuku ya kupita
kama tu ni nduthi napata nasetoka
leta propaganda tag underpopa
twende tu mabombo, pombo ni mapopo
pombo ni mapopo mapopo ni makombo
msupa anadai rombos na anatwerk kombo
mi huchoma local koro local
msupa anadai rombos na anatwerk kombo
eeh daddy unaleteanga w*nga mw*nga
daddy unaleteanga uncle akala
alafu unaleteanga brathe changaa
daddy unaleteanga w*nga mw*nga

sijajua tangu imekuwa vako
sijajua tangu amekuwa wako
napitanana naskia hayuko
napitanana naskia hauko
ati twende 1 eeh sa ntadu?
sa atajidai ye fyatu
ah twende 2 ah mi ndio buda
we bado broman mi **
ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa
tako boxer naeza tumia kuspa
nina pencil leta hio sharpener
na mazing zabe zinalipuka
kila salon bado mi nasuka
si nipasafishe ngoto
na nipazalishe toto
na nisababishe mboto
na nipalainishe na jo
odinare eeh odinare
ye atakuteka atakusesa
kusesa atakutema
odinare eeh odinare
ye atakuteka atakusesa
kusesa atakutema
ati twende 1 eeh sa ntadu?
sa atajidai ye fyatu
ah twende 2 ah mi ndio buda
we bado broman mi **
ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa
odinare eeh odinare
ye atakuteka atakusesa
kusesa atakutema
odinare eeh odinare
ye atakuteka atakusesa
kusesa atakutema
ati twende 1 eeh sa ntadu?
sa atajidai ye fyatu
ah twende 2 ah mi ndio buda
we bado broman mi **
ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa
twende 1 eeh sa ntadu?
sa atajidai ye fyatu
ah twende 2 ah mi ndio buda
we bado broman mi **
ati 4 we baboon umechora ndizi tattoo
ati 5 umejisunda tokwa tokwa ka supa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...