gwara - ethic entertainment lyrics
ati ati ati ka kawa
mwaka iko sawa bila swara
saka ukipata ni za dawa
kata jo kata na gwa gwara
eh ati ati ati gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara
gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara eh
mzee kihara kipara
spoti mi napenda sigara mwafaka
bado naeza simama imara busara
ona daily narauka bila alarm kusaka
bila alarm kusaka, ukisema na adabu
sema naam nataka
daily narauka bila alarm bila alarm
si tufanye maajab, sema naam sema naam
ka kawa
mwaka iko sawa bila swara
saka ukipata ni za dawa
kata jo kata na gwa gwara
eh ati ati ati gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara
gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara
napakanga rangi kwa viatu za landi
after kuchai ka amefunga padi
cheki ni study uone mi ni odi
aroma ni ya chai sk*ma na chapati
cladi nenda uchambue pale wathii za w*nga
nenda uchambue ju una ganji
keroma ni chai sk*ma na chapati
anikanga panty bila wasi wasi
ka kawa
mwaka iko sawa bila swara
saka ukipata ni za dawa
kata jo kata na gwa gwara
eh ati ati ati gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara
ati na niko fast, faster ka fibre
nina sha, shada na lighter
unakaa mka, mkamba ama mtaita
si ni ka cyber na wifi
ati na niko fast, faster ka fibre
nina sha, shada na lighter
unakaa mka, mkamba ama mtaita
si ni ka cyber na wifi
twende ndani, twende ndani
twende ndani, cheki ndani ngori
tuzitoke tuzikwende, tuzitoke
mchague nani ngori
tingisha kiuno, ati kiuno
tingishia neiba hapo kiuno
tingisha kiuno, ati kiuno
tingishia neiba hapo kiuno
ka kawa
mwaka iko sawa bila swara
saka ukipata ni za dawa
kata jo kata na gwa gwara
eh ati ati ati gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara
gwa gwara
kata jo kata na gwa gwara
Random Song Lyrics :
- sunbeam - submarine lyrics
- t.r.w - soolking lyrics
- jentilen ilunabarra - nakkiga lyrics
- #yfyf (remix) - fada vex الشيخ مليك lyrics
- together - adam ranger lyrics
- 사람이 왜 그래 (how can someone be this way) - ailee lyrics
- 50kg freestyle - kamakaze lyrics
- zeirô, zeirô - douglas germano lyrics
- en förlorad sommar - tomas andersson wij lyrics
- i - foreign fields lyrics