asali - ethan muziki, watendawili lyrics
[intro}
uhhh uhhhh
uhh uhhhhh
uhhh uhhhhh
{verse 1]
nananaahhh!! alright
ka we ni gari we ni manyanga
kwa hio manyanga me ndio manamba
ka uko na team naomba jezi
naomba mechi si tukipatana
also i wonder je unanyonganga??
mmh pia we hufanya kile me hufanya?
sema ukweli ndio tuache kujifanya
tuache kunyimana nigeh ata kidogo
[pre chorus]
si uni gey? kama rainbow
ukinipa leo pia nipe kesho
si uni geyyyy kama rainbow
ukinipea leo pia nipe kesho
[chorus]
oooohhh yeeehhh
oooohhh yeeehh
oooohhh yeeehhh
asali nakupenda sana (asali w*ngu)
ohhhhh yeehhh
oooohhh yeeehhh
oooohhh yeeehhh
asali nakupenda sana
[verse 2]
asali salimia kina zam zam
tulionana mara ya mwisho tukiwa half term
siku zime enda sikuizi niko handsome
ata me najua bado we uko matata
dalili nilikuonyesha zaidi
tukiwa shule ya upili
na bado niko dizzy
dizzy dizzy na ma feelings
ni kali kali tangawiz
nimetafutanga bibi na sioni mwingine
sioni mwingine
[pre chorus ]
si uni gey? kama rainbow
ukinipa leo pia nipе kesho
si uni geyyyy kama rainbow
ukinipea lеo pia nipe kesho
[chorus]
oooohhh yeeehhh
oooohhh yeeehhh
oooohhh yeeehhh
asali nakupenda sana (asali w*ngu)
ohhhhh yeehhh
oooohhh yeeehhh
oooohhh yeeehhh
asali nakupenda sana
Random Song Lyrics :
- filicide - acxdc lyrics
- faking a smile - gothurted lyrics
- to take for granted. - jhariah lyrics
- sprite - dvri lyrics
- fibrillante - eugenio finardi lyrics
- sense again - ocean grove lyrics
- good news - col3trane lyrics
- what if i live - allen/olzon lyrics
- world war away - engine three seven lyrics
- nothing left at all - jelly roll lyrics