naumia na moyo - ematalent tz lyrics
mmmh oooh oooh oooh…
minina mapenzi ya kileo
sina mapenzi ya video
usije nipiga ukanifanya
michumio oooh. oooh
nitakapo kazini nik*mbate niliwaze
siunajua minatafuta
nikiludi nimechoka naomba unipoze
jua mumeo minatafuta aaah aaah
tupatacho kidogo mama tw*tumia aaah
chunga kikubwa usiwe na tamaaa aaah
tupatacho kidogo mama tw*tumia aaah
chunga kikubwa usiwe na tamaaa aaah
basi mama usirie mchumba vumilia mama
mwenzako natafuta zidi ya jana aaah
vumilia mama mwenzako natafuta
ziadi ya jana aaah
aaaah aaah oooh…
miata senti mwenzako sina aaah
minajichanga visenti nawe upendeze eeh
miata senti mwenzako sina aaah
minajichanga visenti nawe upendeze eeh
chunga wenye majumba magari ya ferari wasije
mama wakakuteka aaah
chunga wenye majumba magari ya ferari wasije
mama wakakuteka aaah
mwenzako ntaumia moyo
ntaumia aaaah mama
mwenzako ntaumia moyo oooh
mwenzako ntaumia moyo ooh
ntaumia aaaah mama
mwenzako ntaumia moyo oooh
oooh ntaumia mama ntaumia
aaah aaah ntaumia
aaah aaah aaaah
nikipata tunatumia na nikikosa usinune mama
mumeo nakutafutia naili nawe uvimbe sana aaah
nikipata tunatumia na nikikosa usinune mama
mumeo nakutafutia naili nawe uvimbe sana aaah
siunajua ridhiki apang*ye molla aaah
akipanga apangavyo siwezi pangua
siunajua ridhiki apang*ye molla aaah
akipanga apangavyo siwezi pangua
basi mama usilie mchumba vumilia mama
mwenzako natafuta zidi ya jana aaah
vumilia mama mwenzako natafuta zidi ya jana aaah
aaaah aaah oooh…
mwenzako ntaumia moyo
ntaumia aaaah mama
mwenzako ntaumia moyo oooh
mwenzako ntaumia moyo ooh
ntaumia aaaah mama
mwenzako ntaumia moyo oooh oooh
ntaumia mama ntaumia aaah aaah
ntaumia aaah aaah aaaah
kama vipi saula saula na unacheza chura
Random Song Lyrics :
- sin dios ni amo - extremoduro lyrics
- angel of wrath.(only human.) - edward frost lyrics
- dig vill jag ha - emil jensen lyrics
- dernier recours - scred connexion lyrics
- euphoria ii - casey veggies lyrics
- sin nombre (live in new jersey) - roger clyne & the peacemakers lyrics
- remise en question - ibrah lyrics
- leaders of a new era - big shey lyrics
- in the air tonight - royal philharmonic orchestra lyrics
- sångarens saga - mando diao lyrics