milele - elani lyrics
Loading...
[verse 1:wambizzy]
malenga wa kubadili zao nia
kama una masikio sikia
usije basi ukapuliza gunia
na wenye roho nyepesi watasengenya
hawatatuombea
na mi nishakupenda wee
kwa wazazi nikupeleke
na mi nishakupenda wewe….. wewe
[bridge]
la la la la la la la la
la là la la la la la la
la la la la la la la la
la la la la la la la la
[hook]
subira jaribu kuivuta leo
subira jaribu kuivuta eeeeeh
subira jaribu kuivuta leo
subira jaribu kuivuta leeeeoooo…
[verse 2: maureen]
bagua, bagua, utabaguliwa
pokea utakubaliwa
tabia tabia, imani ndiyo njia
nimeamua nikupende
watu wasitenganishe
niwe wako milele
juu mi nishakupenda wewe
kwa wazazi nikupeleke
mi nishakupenda eeeeeh
[bridge]
[hook]
[hook]
Random Song Lyrics :
- church - pyramid mission lyrics
- historias por contar - operación triunfo 2023 lyrics
- love of my life - aly lyrics
- seriousness towards my head - tirolean tape lyrics
- 1979 - electro deluxe lyrics
- bhasad - noef lyrics
- 1 cap no cap - lokann lyrics
- night - merc lyrics
- the finale (slowed + reverb) - natewantstobattle lyrics
- canım diye - can bonomo lyrics