so litatuua life (xo tour life rmx) - ebebé jamal lyrics
yeah
hii ni kwa mtoto wa mtaani
mwenye ndoto kibao
naf n* ger
yeah
this one for the street dreamers
wow
yeah
mtaani wanasema hatufai
ndoto nyingi wakati mf*koni hatuna pound
wanadai kwamba one day tuta bounce
hatutafika mbali tutaishia njiani
tunaepuka madeni
tunaishi kwa bajeti
tunaepuka madeni
ndio maana tunaishi kwa bajeti
tunaepuka madeni
tunaishi kwa bajeti
tunaepuka madeni
ndio maana tunaishi kwa bajeti
maisha sio mepesi ndio maana hatutaki kesi
shirawadu kwenye mageti wanaandika hizo tetesi
kuliwa hela ya kubet, tukianguka tunajiset
mtaani hali sio fresh, burudani ndodo mechi
kwetu harufu nzuri mitaro sio perfume au airfresh
kulala pia stress mbu kibao hakuna net
jina langu silitaki naomba niiteni bakhresa
kichwani ndoto nyingi mpaka usiku pia nakesha
usingizi hauji kitandani nakesha
kila ninachobuni maharamia wanakiteka
nikibishana nao nahisi harufu ya gereza
wanasema sheria zipo ila mimi naona geresha
masikini anaangamia tajiri ananeemeka
wakiona umepania anakuwekea mikeka
chini wanakukalia mpaka usiku unatetemeka
natamani nisingekuwa kwa mama ningekuwa nadeka
mama mama wee
hakuna baunsa mbele ya pay hakuna baunsa mbele ya njaa
tajiri ananunua mpaka utu watu wanashangaa
kuleni nyama tupeni iyo mifupa nadagaa ilimladi tusife njaa
aah aaah aaaah ..!
mtaani wanasema hatufai
ndoto nyingi wakati mf*koni hatuna pound
wanadai kwamba one day tuta bounce
hatutafika mbali tutaishia njiani
tunaepuka madeni
tunaishi kwa bajeti
tunaepuka madeni
ndio maana tunaishi kwa bajeti
tunaepuka madeni
tunaishi kwa bajeti
tunaepuka madeni
ndio maana tunaishi kwa bajeti
Random Song Lyrics :
- matty groves/dirty linen - fairport convention lyrics
- puzzle (remix) - miszel lyrics
- green room (feat. ed droste) - henry jamison lyrics
- af1 - thenamezoza lyrics
- new - alex g lyrics
- не буду (i will not) - crying angel lyrics
- downward slant - equipment lyrics
- 光の街 (hikari no machi) - back number lyrics
- banbury fair - fairport convention lyrics
- stacy - love sick lyrics