niache - ebebé jamal lyrics
“niache”
brother naomba niache “niache”
niache “niache”
brother naomba niache “niache”
niache “niache”
brother naomba niache “niache”
niache “niache”
aisee yeah “niache”
pisi kali imenielewa ukaniona nimeondoka nayo
ila hujui kilichotokea brother niache, “niache”
sio lazima usimulie kama uliona inatosha,
usinichoshe sinto kuchosha brother niache, “niache”
sasa ndio unifokee
kisa umepiga simu alafu sipokei
au ume umeweka appointment alafu nikadelay
na nikiwa busy je? niache yangu nifate yako bro “niache”
hawajui nilivyopania kwenye njia mimi nina nia
sasa kwanini wananizuia alafu waniache “niache”
nikiwa race mtaani, naangaikia msosi mezani
usiniingile nitakukwaza brother niache
haters wanasema ninajidai
kila ninapotimba pande zao hawafurahi
my feelings na hizi shauzi zipo high
kwa ninavyowasomba somba wanatamani mnyamwezi nidie
nidie nidie wanatamani mnyamwezi nidie
nidie..? wakati ninadai na na n*z*di kurolll the dice
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
aise niaje, aise niaje
ona mna maneno yanachoma zaidi ya miale
aisee mniache, aise mniache
nishakanyaga mafuta speed zaidi ya ferari
wala hamunipati, bisha munifate
wanaonilinda wote wanaijua karate
mpaka mnipate, brother mjipange
tagi ninalo serikali kila upande
mguu usawa baada ya mguu upande
mpira ninao siuachi kama zidane
wanangu wanavibegi vina vitu fulani
na wote wanatusua aisee labda muwabanie
haters wanasema ninajidai
kila ninapotimba pande zao hawafurahi
my feelings na hizi shauzi zipo high
kwa ninavyowasomba somba wanatamani mnyamwezi nidie
nidie nidie wanatamani mnyamwezi nidie
nidie..? wakati ninadai na na n*z*di kurolll the dice
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache”
“niache” “niache
Random Song Lyrics :
- lsm (leid, sex & macht) - stahlmann lyrics
- flashlights (cover of rebecca vs. mexico) - hayden arp lyrics
- 现金流(money flow) - tizzy t lyrics
- gestalt - +caregiver+ (tn) lyrics
- aint fair - haloo! lyrics
- make me feel - rocco lyrics
- fleeting light - cole cyphert & jynx royale lyrics
- don't pass us by - isaac tarter lyrics
- late night train - arthur koldomasov lyrics
- devil on the interstate line - will johnson lyrics