kitu (zzuanga style) - ebebé jamal lyrics
yeah
wengi wameshapoteza nia kwa mtaa
mwengine akijitupia hawezi kaa na njaa
kichwa kibovu akajipakia ndio ataganga njaa
marley alishaisifu ni zaidi ya kushinda bar
kijana chunga sana fanya hii kitu kwa ufasaha
mjeshi gani huzama vitani bila silaha
hii kitu sio haina maana punguza tamaa
sio kila unachokiaona ni sahihi kuzimia taa
alishasema baba
akarudia mama
ilikuwepo toka zama
chunga sana maji ya moto yasiunguze ujana
hii kitu hii kitu hii kitu hii
ndio imewafanya miiko hawaithamini
hii kitu hii kitu hii kitu hii
ndio chanzo cha matatizo ya jamii
hii kitu hii kitu hii kitu hii
ndio imewafanya miiko hawaithamini
hii kitu hii kitu hii kitu hii
ndio chanzo cha matatizo ya jamii
ramani ipo wazi ndani ya jumba la sanaa
shika lako utimize kitachokufaa
hawa hana amana nnje wanyama wakali
imani kaitupia mbali
kama umebugi ukajiwahi usijutie msamaha
maisha ya mtaani hayacertify mjini ushangae
na bibi nyumbani wanasubiri ugali
je alaumiwe nani
jipe moyo kaza
usitegemee msaada
kama kigingi panda
chunga sana unayofanya kwa jaa yanaonekana
hii kitu hii kitu hii kitu hii
ndio imewafanya miiko hawaithamini
hii kitu hii kitu hii kitu hii
ndio chanzo cha matatizo ya jamii
hii kitu hii kitu hii kitu hii
ndio imewafanya miiko hawaithamini
hii kitu hii kitu hii kitu hii
ndio chanzo cha matatizo ya jamii
hii
hii ,hii
ndio chanzo cha matatizo ya jamii
Random Song Lyrics :
- friendz - n.o.r.e. lyrics
- desayunarte - kike barrios lyrics
- quando ela passa - ivo mozart lyrics
- you know it's me - the twilight lyrics
- lever l'encre - grödash lyrics
- never ever - hypasonic mix - ultrabeat lyrics
- aankhama - rohit john chettri lyrics
- last kiss [sept. 1st 2005] - pearl jam lyrics
- stand back - kopecky lyrics
- zieh dich an und geh - nockalm quintett lyrics