chapa chapa (yanga anthem) - ebebé jamal lyrics
tumesha wa chapa chapa
ona tunavyo wa chapa chapa
tumesha wa chapa chapa
wameshalowa wapo chapa chapa
chapa chapa sisi ndio ma champion
yanga chata kubwa watu million
yanga chata kubwa kwao vilio
yanga chata makolo awaziwezi mbio
chapa chapa sisi ndio ma champion
yanga chata kubwa watu million
yanga chata kubwa kwao vilio
yanga chata makolo awaziwezi mbio
ndoo za kutosha, tumeshaziokota
mbele ya macho yao kwenye nyasi za ukoka
kimbinu washachoka
hoi makoloka
pasi nbili tobo, wao maneno kwetu soccer
tunabeba vikombe, wapinzani wanapuyanga
cha ajabu awash*tuki mpaka simba nae yanga
cha ajabu awash*tuki mpaka jk pia yanga
cha ajabu awash*tuki bm kurudi yanga
manara nae yanga, kiba nae yanga
chui pia yanga, mpakatembo nae yanga
wanagombea kiatu ona meno wanavyoyasaga
mayele nae yanga, diara pia yanga
dimbani wote yanga sasa ona tunavyowakaanga
bingwa tushajipanga wanachoambulia majanga
ona wanajiuliza tunavyoicheza zzuanga
sasa tupo uwanjani meli ishatia nanga
gsm ana mzigo,tumesahau kuchanga changa
h*llo washirikina nguo nyekundu ka waganga
tuwaongezee nyeupe wakajishonee sanda
tumesha wa chapa chapa
ona tunavyo wa chapa chapa
tumesha wa chapa chapa
wameshalowa wapo chapa chapa
chapa chapa sisi ndio ma champion
yanga chata kubwa watu million
yanga chata kubwa kwao vilio
yanga chata makolo awaziwezi mbio
chapa chapa sisi ndio ma champion
yanga chata kubwa watu million
yanga chata kubwa kwao vilio
yanga chata makolo awaziwezi mbio
Random Song Lyrics :
- demon mode - d-lo116 lyrics
- high rolla - serengeti lyrics
- stick to making beats (outro) - asaphdaking lyrics
- bazen - tepki lyrics
- come ova - baydenlo lyrics
- cuts - hamilton lyrics
- gwiazda - emvi lyrics
- por que te amo - johny el polakito lyrics
- better (acoustic) - the vamps lyrics
- bitch made - jackman raps lyrics