shikide - dully sykes lyrics
[intro:]
yes
kazuzu
mmh
kenya, uganda mpaka tanzania
produced by dully sykes ( hii ni yenu )
kariakoo
ilala gerezani mpaka kigogo
tabata mtwapa, ukunda
buguruni watu w*ngu mumenipata uh
yah
moja, mbili, tatu—
tudo!
[chorus:]
ale shikide mama sema shikide >> shikide!
shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide shikide cheza shikide >> shikide!
oh shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide mama sema shikide >> shikide!
shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide shikide shake shikide >> shikide!
oh shikide shikide shikide >> shikide!
[verse 1:]
salamu’ ndugu marafiki dar*es*salaam
club, kilabuni whisky, ganja ndio manake ndio patamu
patakuwa hapa fit bila demu tucheze kwa pamoja sio kila mtu kivyake
nipe hamu’ na mimi nijisikie mwanadamu nifanye kukubeba mambo yawe mukide
how come’ hautaki hata kunipa salamu basi twende floor tukacheze shikide
nipe hamu’ na mimi nijisikie mwanadamu nifanye kukubeba mambo yawe mukide
how come’ hautaki hata kunipa salamu basi twende floor tukacheze shikide
[chorus:]
ale shikide mama sema shikide >> shikide!
shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide shikide cheza shikide >> shikide!
oh shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide mama sema shikide >> shikide!
shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide shikide shake shikide >> hey! shikide!
shikide shikide shikide >> shikide!
hey, hey, brotherman
[verse 2:]
i say complain na ziddy kwenye mashine ya kijiji wana scratch spidi ngoma ya ma$e na diddy
ac ndio usiseme kama watu kwa friji, klabu baridi imezidi tena imezidi kwa spidi
complain na ziddy kwenye mashine ya kijiji wana scratch spidi ngoma ya ma$e na diddy
ac ndio usiseme kama watu kwa friji, klabu baridi imezidi tena imezidi kwa spidi
[hook:]
shikide >> shikide hey shikide hey hey
ma shikide oh
ma shikide >> shikide hey hey
shikide shikide >> shikide
ai oh shikide ohh..shikide
shake dat!
[chorus:]
ale shikide mama sema shikide >> shikide!
shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide shikide cheza shikide >> shikide!
oh shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide mama sema shikide >> shikide!
shikide shikide shikide >> shikide!
ale shikide shikide shake shikide >> shikide!
oh shikide shikide shikide >> shikide!
[chorus repeat:]

[outro:]
ah watu w*ngu wa ilala, bomoa fc, ashanti na dar newala
ita hii kwa dafala, amsterdam kwa bachala
mpaka kwa wezu hakuna kulala
magoho wagoshi de beli na saidi kipara
mwanaenu ndio hivyo na ng’ara ah
mungu atanipa inshallah
au vipi eh?
arafat ngumi jiwe
i say malewa malewa malewa malewa
cheza’ malewa malewa malewa malewa
twende’ malewa malewa malewa malewa
ale’ malewa malewa ah malewa malewa
ruka’ malewa ah malewa malewa malewa
cheza’ malewa ah malewa ah malewa ah malewa malewa
ba mutu batarokota benyewe kwenye nyavu
Random Song Lyrics :
- für immer und dich - johannes oerding lyrics
- no more - mathaius young lyrics
- un día - ali aka mind lyrics
- ain't got nobody - weezer lyrics
- i gave to you - the delfonics lyrics
- something wrong - timeflies lyrics
- swizz beatz - young thug lyrics
- defector - black mountain lyrics
- hall of fame - alexandra burke lyrics
- don gorgon - burna boy lyrics