lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

unajua - dreamers lyrics

Loading...

intro
haaaaaaaaaaaaaaaaaah
aaaaaaaaah aaaaaaaaaah

verse 1 (sadimu)

anha.. napanda mpaka juu mama
nasema mshale umenigusa kwenye nyama nyama..
turn your lights down low (turn your lights down low
achana na washamba hawawezi show..
umenifundisha fundisha vitu vingi kwenye love
umeni teach how i can do
umewafuni funika
na madem wa zamani
nimefika please baby njoo aah
nasemaga we mama
mapenzi unayo nipa ni sooo
unajuaga nidekeza
mpaka najiona mdogo

natenaa weeeee (muyemba)
mvua inayonyesha jangwani
mi nawe mkufu kidani
penzi la utamu wa vitendo
umelinogesha lichunge pendo
chunga malengo darling
tufike lengoo
chorus
unajuaaaaaa unajuaaaaaaaa
unajuaaaaaa unajuaaaaaaaax2

verse 2

i love the way you talk (rotizee)
i love the way you walk
kwenye safari hii ya mapenzi
tuwe wote usnitose (come on)
wataka gari kubwakubwa
usijali baby takununulia na nyuma
ulinzi mkali sio wa mbwa
takuletea chui serengeti aje kulinda
first vacation yetu torontoo
ukirudi baby unipatie katotox2

ni wee pekee unanifanya ni breath
oooh hakuna mwingine wakunitoa stress
nikikuona nguvu zinisha
mwili wote un*z*zima
na nishashona uzibe umeisha
twende wote kwenye kisimaaa

chorus

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...