lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lakezonian queen - dr xolly(bwana harusi) lyrics

Loading...

intro

mmmmmhh…yeeeh..

city of sound

ennhh…yeyeehh…iiinhhh..
mmmmmhh….

bwanaharusiiiiii…

mmmmmhh…yeyeeh..heeeiiyaah..
iiinhhh..aaaahhh

h*pol

verse 1

ukiwa mgonjwa unapona..tena ukiwaona..
yaani wanapozi k*mshinda maradonna..
sio wa vigoma..vichochoroni kona..
wanajistiri lakezonian girl..

hawakutusi na kusonya..kukujibu koma..
wanakuheshimu hata kama una boma..
nawakubali mbona hakuna wakujiona..
mola wape bless every way they go..
bridge

wana makopa kopa halafu mwanana..
makopa kopa nyodo hawana..
makopa kopa yanafanana..
makopa kooooopaaa…
wana makopa kopa halafu mwanana..
makopa kopa nyodo hawana..
makopa kopa yanafanana..
makopa kooooopaaa…

chorus

your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..(yeeeh)..queen..
lakezonian queen..(yeeeh)

verse 2

onyesha mishauwo,mashauzi maringo mideko..oooohh..
ongeza na mbwembwe halafu na kakicheko..ooyeeh..
hakika uko sweet unashinda pottato..
vi*dimpo dimpo na hivo vimacho..
hata huko nyuma kichuguu unacho..(you blast my mind)
i say mama show them what’yah mama gave’yah..
i say aaahh..show them what’yah mama gave’yah..eeiieeeh..
oooh mama then show them what’yah mama gave’yah..
aaahh..mama show them what’yah mama gave’yah..
i say show them what’yah mama gave’yah..yeeiyeehh..eeeh

chorus

your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..(yeeeh)..queen..
lakezonian queen..eeeh

bridge

wana makopa kopa halafu mwanana..
makopa kopa nyodo hawana..
makopa kopa yanafanana..
makopa kooooopaaa…
wana makopa kopa halafu mwanana..
makopa kopa nyodo hawana..
makopa kopa yanafanana..
makopa kooooopaaa…
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..

h*pol

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...