saida - don santo lyrics
don santo performing saida. this is a kalpop song about a beautiful woman named saida whose feet ‘a dog has l!cked.’
produced by: blame it on don
record label: klassik nation
promoted by: songbad music
all rights reserved
chorus
eh saida niambie;
kwa nini una manga manga?
eeh saida niambie;
kwa nini una manga manga?
kwa nini una manga manga?
acha k*manga |7|: manga :|7| daily;
kwa nini una manga manga?
stanza one
there comes a time in life;
mwanamme lazima awe na wife
hata ujaribu kuwa na girlfriend;
unapata umeliwa by month end
mke wako kule nyumbani;
utarudi kwake nyumbani
huna budi umuoneshe mapenzi;
uachane na wale wa kando
sasa wewe saida mami;
mbona unapenda kuwa chips funga?
una watoto fogo kama mtama;
ila bado wewe wajikaranga!
sasa wewe saida mami;
mbona unapеnda kuwa chips funga?
una watoto fogo kama mtama;
ila wewe bado wewе wajikaranga!
chorus
kwa nini una manga manga?
eh saida! saida mama!
kwa nini una manga manga?
mbona wewe |3|: mami :|3| unamanga manga kila day?
kwa nini una manga manga?
eeh saida! saida!
kwa nini una manga manga?
instrumental bridge
stanza two
saida yule yule patikana na boda boda!
saida yule tena ameshikwa na mca!
saida yule yule ametiwa mimba na nani!
saida huyu huyu amepigwa sokoni kule!
saida yule tena anenguwa kiuno pale! (whistle)
saida tena nini wabadili rangi ya mwili?
unalamba moto, utakuja chomwa;
we saida unalamba moto, utakuja chomwa
chorus
outro then chorus to fade
Random Song Lyrics :
- money money money - french montana lyrics
- distance - suzuya lyrics
- our bodies, our choice - amygdala (band) lyrics
- woski - harry carter lyrics
- someone's bleeding - the freeze lyrics
- исход (exodus) - motherlodge lyrics
- luv - 808 august 10th lyrics
- smash mouth (interlude) - cal scruby lyrics
- lowkey great - westside kris lyrics
- burning part - angela cameron lyrics