barua kwa mungu (a letter to god) - don santo lyrics
barua kwa mungu (a letter to god), just like most of the song in the calvary ep, is a song that i wrote at a critical time of my life. i hope the words of this song and the energy the calvary project generates finds home in your soul. god bless!
the lyrics
chorus
||: bwana… u fahari yangu
imani yangu kwako haitingiziki
upendo … wazidi toka kw*ngu
sina mwengine ila wewe baba. : ||
stanza one [0:55* 1:35]
mpendwa sir jah
nimesikia mengi juu yako hadi
inanichoma moyoni mw*ngu kwani
nataka kukuambia vile nafeel ndani, lakini
sijui nianzie wapi
wanasema kuwa wewe ndiye answer
kwa njia ninavyohisi ndani
na mara nitakapokuwa ndani yako, nitafanya hivyo daddy…
ili niwe na kitu cha kuwa mwongozo kw*ngu
nilichukua bibilia takatifu
alikuwa amekusanya vumbi kwenye rafu
niliamua kuisoma na kujitafutia mwenyewe
stanza two [2:00*2:37]
nilisoma juu ya jinsi walivyopigilia msumari wako
mwili wa thamani msalabani
na sababu ya hii; ilikuwa kwa kuniokoa mie niliyepotea
machozi yalimiminika kutoka kw*ngu kama
furaha ilinikuta roho yangu!
nimegundua mengi juu yako, hiyo
sikuambiwa kamwe
ila sir jah ningependa ujue sipendi kifo na nafsi yangu yote
ila ni wisdom yako zaidi ya ile ulompa solomon
so son of the sun, aka the badman k!lla
i surrender
||: bwana… u fahari yangu
imani yangu kwako haitingiziki
upendo … wazidi toka kw*ngu
sina mwengine ila wewe baba. : ||
ha*lle*luhya mwami yetsombwe!
Random Song Lyrics :
- a lullaby - danielle ate the sandwich lyrics
- jet pack blues - the blurtoads lyrics
- broken - fear unknwn lyrics
- song to the siren - garbage lyrics
- need to know x trap - big yba lyrics
- cortejo cancelado - ana milla lyrics
- one spark (house ver.) - twice lyrics
- time - clout (ru) lyrics
- уmножились - wockhardt lyrics
- a song for departure (live at bbc maida vale) - manic street preachers lyrics