yule - don ndegwa lyrics
into:
ahhhhh (aaaahh)
eeeeh! eeeeh!
wewe ni yule yu….yule (yule lele)
wewe ni yule yu
wewe ni yule, yule yule
verse 1: (don ndegwa)
kama mercy masika mimi kwako niko shule
nataka kusoma kusoma baba wewe unifunze
milima mabonde katika hatari wewe unitunze
kama mimea kwa shamba nataka nawiri, unikuze
kitu kimoja ni constant, wewe huwezi nitoka
hata nilipo potoka, kwa thrown bado uliningoja (whoo)
mikono wide open nilipo rudi (ha ha ha)
furaha kibao ulichinja hadi mbuzi
prodigal son kapata njia
palipo nia pakosi njia
funga virago wee pitia
keep it a100, asilimia mia
mia kwa mia mizigo ngamia
(wewe ni yule, ni yule, ni yule)
imani, neema, atuwezi angamiani
(bado ni yule, ni yule ni yule) (whoo)
injili suk*ma ugenya, siyaya, bondo, alego
mafuta kwa gari, safari tayari, so modo now lego
believe me this is easy i was born to do this (whoo)
so kama boda boda, let’s go, let’s nduthis!!
chorus:
mungu wa musa ni yule yule
tena wa yakobo ni yule yule
baba na mwana na roho yule
jana na leo na kesho yuleeeeee
(jana na leo na kesho ni yule, wewe ni yule
baba na mwana na roho ni yule, (yule, yule, yule)
wewe ni yule, wewe ni yule, ni yule ni yule
wewe ni yule, wewe ni yule, ni yule ni yule)
verse 2: (josh xtra)
tuna record?
huh!
wee ni, wee ni yule yule
huh!
[yule yule]*7
huh! huh!
igweni aya ati matiuii jesu
ati matiuii jesu
how could they be living na matiuii jesu
na the air they been breathing is a gift from jesu
talk to them
got to talk to them
niigetha maigue matikariite
mahonoke, mwakinii matikarike
huh! huh!
same same same kama jana (whoo)
upendo wake ni wa w*nga (whoo)
wacha na hao waganga
brother wachana na hiyo kamba
makolyo maku his the answer
hit em with the verse make sense to them
hit em with a dance like odi dance
wacheki vile christ ni mglorious
waimbe vile christ ni mvictorious (huh! huh! huh!)
chours:
mungu wa musa ni yule yule
tena wa yakobo ni yule yule
baba na mwana na roho yule
jana na leo na kesho yuleeeeee
(jana na leo na kesho ni yule, wewe ni yule
baba na mwana na roho ni yule, (yule, yule, yule)
wewe ni yule, wewe ni yule, ni yule ni yule
wewe ni yule, wewe ni yule, ni yule ni yule)
verse 3: (don ndegwa & ruby nina)
nimeskia ukitajwa mitaani,(mitaani)
na kanisani wazimba sifa zako, (wazimba sifa zako)
yasemekana wee mweza yote, (nimuweza yote)
hakuna jambo lolote likushindalo, (woo ooh ooh)
mashida zote? wee watatua (wewe tatua, wewe tatua tatua)
hata magonjwa? wewe waponyaaaa
hata na wafu? wee wafufuaaa
wewe ni yule, wewe ni yule, ni yule. (yule, yule, yule)
yule, yule, yuleeee! *2
yule yuleee
eeehh!
Random Song Lyrics :
- realize - hideandseekzoo lyrics
- girls got a gun - yo-yo lyrics
- be good to me - deniece williams lyrics
- it's all good! - jeremie sevigny lyrics
- finewitdat - cashma lyrics
- stay down 2 - og maco lyrics
- raw spit - mayhem brooks lyrics
- stop à l'intimidation - le lyon lyrics
- the chase - pat g lyrics
- before tour - 67 lyrics