lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tate - dollar lossa lyrics

Loading...

ngao ya penzi ulimi, kuhifadhi vya ndani
beibe
tuijenge thamani, unipe burudani
aahe!

ongeza heshima uniheshimu sana, beibe
mwingine hakuna wakuja nichanganya
wewe umeniponya vidonda vya roho, vidonda vya roho
popote uringe na mimi ni wako, mimi ni wako

hooo tate beibe

tate tate, tate tate
tate tate, tate tate

nsh*ga tesekaga sana, kwa wasio na huruma
penzi likawa hasama
nawe unilindie my hatoo beibe
nilinde usiniumize my hatoo beibe
wivu mpenzi kidonda ee, ukishiriki utakonda ee
mimi ni wako napenda penda penda penda
acha waseme unaringae, ukiwaona watambie
tena ongeza kuvimba vimba vimba vimba vimba

ongeza heshima uniheshimu sana, beibe
mwingine hakuna wakuja nichanganya
wewe umeniponya vidonda vya roho, vidonda vya roho
popote uringe na mimi ni wako, mimi ni wako
hooo tate beibe

tate tate, tate tate
tate tate, tate tate

your your my everything
your your ooh! darling
your your my destine
your your my one and only

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...