nyuka - dj karashville lyrics
[intro]
oya kay, adisia kiasi, cl!ck
cl!ck boom
[pre*hook]
maneno yangu ngumu kaa ku turn
knowledge into money
kaa dudu zenu mkicheki awa ma hunny
dj karashville kwa street kuna
mwingine kaa me?
aaii hapana zii!
[chorus]
mic ni ya lapi
maganji niko kambi
evergreen na matawi
nabado na wa nyuka
ma tools mko nazo
bado sh*t zenu zinaboo
na compe mnaleta
nabado nawa nyuka
cl!ckbaitin on my x’s
for you to get a paycheck
na ma swagg kaza makende
nabado nawa nyuka
ata kaa ni ong’ong’o
ata kaa ni pokomo
either dem awe ni koko
na bado nawa nyuka
[verse 1]
niko mistiri misiri mki exit juu ya mystery
tulink kijijini na upini mkitry kuni pimi
ting ting toast kwa mlo aga sababu ya m
roast
a motherf*cker kwanza wakitry ku gas up
waddup
when me a dead man a pree valhalla
feel seh yuh a badman gwaan halla
[pre*hook]
maneno yangu ngumu kaa ku turn
knowledge into money
kaa dudu zenu mkicheki awa ma hunny
dj karashville kwa street kuna
mwingine kaa me?
aaii hapana zii!
[chorus]
mic ni ya lapi
maganji niko kambi
evergreen na matawi
nabado na wa nyuka
ma tools mko nazo
bado sh*t zenu zinaboo
na compe mnaleta
nabado nawa nyuka
cl!ckbaitin on my x’s
for you to get a paychеck
na ma swagg kaza makende
nabado nawa nyuka
ata kaa ni ong’ong’o
ata kaa ni pokomo
either dеm awe ni koko
na bado nawa nyuka
[verse 2]
ma rapper wamekuwa ma hoe wa ma beat
kurukia rukia any sh*t ina sound legit na
ma bars zime beat
na utaskia abelu ziki buss blanks nkaa hii
industry ni ya shogwo
wake ni wetu zetu ndechu ki wutang clan
nawasunda
ivo mnakam na pupa moving nkaa mnafikiria
na duba
[pre*hook]
maneno yangu ngumu kaa ku turn
knowledge into money
kaa dudu zenu mkicheki awa ma hunny
dj karashville kwa street kuna
mwingine kaa me?
aaii hapana zii!
[chorus]
mic ni ya lapi
maganji niko kambi
evergreen na matawi
nabado na wa nyuka
ma tools mko nazo
bado sh*t zenu zinaboo
na compe mnaleta
nabado nawa nyuka
cl!ckbaitin on my x’s
for you to get a paycheck
na ma swagg kaza makende
nabado nawa nyuka
ata kaa ni ong’ong’o
ata kaa ni pokomo
either dem awe ni koko
na bado nawa nyuka
[verse 3]
nuff wanna write me off buh man a mjanja
my followers sita wa follow back twice
ntawa jesus mkitry kuni christ twice
amazing race cheki bag pack
amazing grace we gwan buss back
clap back snapback backpack
backpacked jet pack get back
if you don wanna get hurt
pow pow
[pre*hook]
maneno yangu ngumu kaa ku turn
knowledge into money
kaa dudu zenu mkicheki awa ma hunny
dj karashville kwa street kuna
mwingine kaa me?
aaii hapana zii!
[chorus]
mic ni ya lapi
maganji niko kambi
evergreen na matawi
nabado na wa nyuka
ma tools mko nazo
bado sh*t zenu zinaboo
na compe mnaleta
nabado nawa nyuka
cl!ckbaitin on my x’s
for you to get a paycheck
na ma swagg kaza makende
nabado nawa nyuka
ata kaa ni ong’ong’o
ata kaa ni pokomo
either dem awe ni koko
na bado nawa nyuka
mic ni ya lapi
maganji niko kambi
evergreen na matawi
nabado na wa nyuka
ma tools mko nazo
bado sh*t zenu zinaboo
na compe mnaleta
nabado nawa nyuka
cl!ckbaitin on my x’s
for you to get a paycheck
na ma swagg kaza makende
nabado nawa nyuka
ata kaa ni ong’ong’o
ata kaa ni pokomo
either dem awe ni koko
na bado nawa nyuka
Random Song Lyrics :
- mercenario - güemes lyrics
- wolf//i'll be good - kvse lyrics
- wacked - lexton lyrics
- nobody likes you, booster - the ground is lava (emo band) lyrics
- summertime - chanel lsd lyrics
- historia - lokal lyrics
- don't be lonely - the delta riggs lyrics
- can't let you go - anthony sidoti lyrics
- earned it (the weeknd cover) - bootstraps lyrics
- häschen auf die piste - schnuffel lyrics