string theory - dizasta vina lyrics
classic only
dizasta alikuwepo zama kipindi industry
imekusanya mafamba ka’ staff carriers
washamba wasiojua kuchana kiasi ikawa
kawaida game kufanywa na class failures
akaja aka*attach hard barriers
kwa material mad class heavier
walipohisi ni danger au bacteria
wakaanza kuogopa kuziweka kwa mass media
vipi nikupe story? nilikuwaga shule na hawa cool cats
walisema siwezi kurap my voice is too blunt
mara sifananii kuwa msanii mara sijui
nanihii, mara ukiamua kufanya tu you’ll do flat
ikaja track matozi wakaanza kukopi sera
maujanja haya hayatoshi hela
na shule ndo’ inaanza kwanza
hakikisha kwamba hauchezi fool
i’m next book bro certified storyteller
now sit down think clearly
kwanini mafisi hawawezi kusniff near me
hata kama nitapunguza speed bado
distance ni kubwa kama elimu ya uraia kwa string theory
chagama jela my bars bigger than yours
huna sera my mind bigger than yours
i’m ill my rhymes sicker than yours
fu*k matamasha my rides bigger than tours
i risе thicker than….come on man i’m cool man
busy establishing thе new wave
mistari konde sina gang gang soja
na wanakubali kwamba hii pen game noma
macho kwenye pesa kama cashier
najenga career maana verse nyingi sana
underground na bado nasikika kila area
naunguza kiwanda i’m too hot for media
anza mbio bro, danger hii dog
p funk majani still hate this dawg
ufa linadundwa kwa chuma lililosukwa
kimakenika, you can’t pet this dog
root ngumu sana hauwezi kupiga chabo
verse tight kama sphincter muscles pita kando
ficha macho we’ ni kinda bado, man
utashikwa tako maana hujajua bado kulinda cargo
alama ya kuifungua mitaa street token
alafu nafanya maclassic ka’ beethoven
hamna clone version, hamna replica
dizasta ni mmoja tu my sk!ll set is the big problem
don kwenye flow ki*mechanic i’m pulling a pulley
schooling youngings and bullying a bully
my singles has extra pairs
my pictures has extra layers
sijui unanisikiliza vizuri?
ona makala zinapakwa color, so kama una shaka njoo
uone namna zinavyochapwa show
usilete kiburi itikadi misimamo bro
hapa utalazwa kama underscore
na wote ambao they can only see near
spoiler alert, hii game itashuka and i’ll be here
maana penye umaridadi i stick there
nabakia international brand kama swiss air
anza mbio nikizuka inaexplode fever
nakunja lines ka pusha anavyo*roll wida
sahau witiri na shufwa mi’ ni four figure
nonde sua dizasta governor ka’ schwarzenegger
verse ii (trubadour)
nagawa bahari kutwa, nabii musa puta
nawapeleka huu ukuta askari anadai kufa
huu mzuka masai havai shuka
moshi unaf*ka tupo kikazi namdai muha
doto tulia namdai kulwa
sitorudia kwa washua hakai pusha
mi ‘ kazi baada ya chuo
achana na elimu chukua funguo
sina bei naleta utata mkataba fei
naleta hamasa tangaza siasa kweli kweli
vita ya biafra was a real debate
check the feeling still hatred
holy mary
na*out source polisi post nachange mode
dai kodi huoni duniani nina kazi moja
uliza code inshort tupo kikosi usifosi
umekutana na afisa uhamiaji boda
mi’ ndo’ coils kwenye ac, valves kwenye gas
mi’ ndo’ amount kwenye account me ndo’ knife kwenye bag
mi’ rhymes kwenye verse au salute kwenye jeshi
hunizimii ila me ndo’ dp kwenye page yenu
mia tatu sabini mh
sina fear na jinsi nadissapear mx
nakutabiria njia sio clear tma
wanasikia viziwi wakimbia everyday
boss baba usivuke mipaka nna roho saba
go harder nikisoma mashtaka unapozi kwanza
naposimama langa bidhaa hizi kiwanda
trubadour george r.i.p bingi misanya
nilichonacho ni matundu ya risasi
fikicha macho maana vita jihadi
tunafuata ulichonacho maana kwetu hii kazi
kinabadilishwa kizazi
hii ndo’ on job training
play beat dj anapewa playlist
hii ni murder brother ochu sheggy witness
vita ya msalaba hii ni crusade weekend
you crazy listen, hii phase mean business
usi*paraphrase parade subiri weekend
usi*colorgrade mission fanya uulize
fanya ilipe watu wasizike mpaka ufike
ujuzi huu kuupata ni ngumu
hisia kali haufikii hata ukilala na ndumu
ushaambiwa huu ukanda ni sumu
ma mc wanakandwa bado wako recovery room
f.a namdai vina, hii ni shida
roma usa ameanza lipa
sifanyi mistake play andaa bima
vina namimina sikia w*n*lia kama msiba
Random Song Lyrics :
- mirage - breakfast club lyrics
- bang - marin lyrics
- superstar - gerico lyrics
- i don't really care - mat kearney lyrics
- tonka truck - hi yello lyrics
- hot boyz - p2dippy lyrics
- +vice - deathdocs lyrics
- a p p l y i n g . p r e s s u r e (remix) - cyrus lyrics
- no thanks, i'm trying to quit - dani díaz lyrics
- close by - dailey & vincent lyrics