lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

natlan - dimeng yuan (苑迪萌) lyrics

Loading...

[intro]
shambulia beba silaha
pigana mpaka mwishowe
kwa nchi yetu tutauvunja damu yoyote
rudi kwa pambaja ya dunya

[chorus]
hadithi yaendelea (kama moto)
heshima waridhi vizazi (waka daima)
ushujaa waangaza mbingu na ardhi
mara tena ashinda natlan
milele tuw*ngoje, na tutawaimbia
rudini ndugu, rudini mashujaa
mara ya tena mw*ngani

[instrumental interlude]

[verse]
ati kweli mwahofuni kifo? (hapana)
ushujaa wenu ni imara (bila shaka)
k*mbukeni majina ya mashujaa
andameni uwanjani
kwa jamaa, nchi na taifa (zuri, safi, sawa)
kwa matumaini, mbeleni, malengo (vuma, raha, nguvu)

[interlude]
rudini tunaw*ngojeni
[pre*chorus]
nyimbo za kelele sana
sikiliza zitakuongaza nyumbani

[chorus]
hadithi yaendelea (kama moto)
heshima warithi vizazi (waka daima)
ushujaa waangaza mbingu na ardhi
mara tena ashinda natlan
milele tuw*ngoje, na tutawaimba
rudini ndugu, rudini mashujaa
mara ya tena mw*ngani

[outro]
maisha marefu ni sasa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...