lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

yatapita - diamond platnumz lyrics

Loading...

[chorus]
yatapita yana mwisho
ipo siku tutayasahau
watatuheshimu walio tudharau
kaza moyo nivumilie
amini tutayasahau
watatuheshimu walio tudharau wote
na ntakununulia (vyote)
mawigi na simu (vyote)
nitakuzawadia (vyote)
pochi zenye thamani (vyote)
na we wenda waringishia (vyote)
utembee kwa uskani (vyote)
na vioo ukiwafungia (vyote)

[verse 1]
aloiumba leo ni mungu na ndo ataiumba kesho
amini fungu letu laja haliko mbalii
alisema mtaza kwa uchungu tutatafuta kwa mateso
baby mitihani kawaida usijali
kidogo nachokuletea usinune pokea
nipate moyo unifarijii
na vyote navyoongezea
usichoke niombea
mola atubariki zaidi
mungu kakupa sura kakupa shepu
nyuma chura mambo yetu
mwana wa sanura
mwenzako mimi i love you
umeniteka medulla niko fyetu
akili haina ndala iko peku
umeniburura
mwenzako mimi i love you
ooh nivumilie
[chorus]
yatapita yana mwisho
ipo siku tutayasahau
watatuheshimu walio tudharau
kaza moyo nivumilie
amini tutayasahau
watatuheshimu walio tudharau wote
na ntakununulia (vyote)
mawigi na simu (vyote)
nitakuzawadia (vyote)
pochi zenye thamani (vyote)
na we wenda waringishia (vyote)
utembee kwa uskani (vyote)
na vioo ukiwafungia (vyote)

[verse 2]
tazama nyota na mbalamwezi zatutazama
liliwaka jua zikafanya subira
mmh na ninapokosa nambie mupenzi
sio kuzozana
nyumba haijengwi kwa vita hasira
kwenye macho yako nikiyatazama
naiona huruma yako mama
changamoto mana kuna muda unakata tamaa
nanoa kisu hatuui mnyama
na kodi nyundo zatuandama
ridhiki zama kwa zama
ya kwetu kesho ya kwao ni jana
kidogo nachokuletea usinune pokea
nipate moyo unifarijii
navyote naviongeze husichoke niombea
mola atubariki zaidi
yatapita kipenzi changu
[chorus]
yatapita yana mwisho
ipo siku tutayasahau
watatuheshimu walio tudharau
kaza moyo nivumilie
amini tutayasahau
watatuheshimu walio tudharau wote
na ntakununulia (vyote)
mawigi na simu (vyote)
nitakuzawadia (vyote)
pochi zenye thamani (vyote)
na we wenda waringishia (vyote)
utembee kwa uskani (vyote)
na vioo ukiwafungia (vyote)

[outro]
mungu kakupa sura kakupa shepu
nyuma chura mambo yetu
mwana wa sanura
mwenzako mimi i love you

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...