lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

utanipenda - diamond platnumz lyrics

Loading...

[intro]
tanta lala laaa
ooh la la la la laaaa
mmmmh

[verse 1]
ooh ghafla visenti sina nimerudi tandale
nimeshindwa kulipa bima nimeuza madale
radio nyimbo wamezima tv ndio hataree
umeneja umebaki jina
hanitaki hata tale
oooh wale shabiki zangu
walionisifu kwa maneno matamu
leo maadui zangu
ni mitusi tu kwa instagram
kimwanaa si dada angu
eti nae hanifahamu
hata harmonize nikimpigia
ananifokea kama sallam

[bridge]
na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa
utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwagwa
navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga

[pre chorus]
ooh nayosema yana maana
sababu hakuna anaejua kesho
anaepanga ni rabana
ila ameificha ni confidential
ukisali omba sanaa
mumeo nisije kuwa kichekesho
maana rafiki wa jana
aaah
ndio adui mkubwa wa kesho

[chorus]
la la la la la laaaaa
au je utanipenda gaa?
la la la la laaa
au nawe utanimwagaa?
la la la la laaaa
ati utanipenda gaa ooh
ooooh

[verse 2]
ooooooooh..
bado naiwaza sana
zile tunzo mashauzi airport
je itapofika tamati
utadiriki hata j-po kunipost
pindi show zimekwamaa
na nikipata sijahis ni mikosi
oooh jahazi limezama
mola ninusulu baba
kama namuona mwanangu
roho yangu
tiffa dangote
anakwenda na mamaangu
kwa jakaya kikwete wanaf-kuzwa watoke
usilie sandra w-ngu
mboni yangu
jikaze usichoke
huenda kesho zamu yangu
nitavuma tena mambo yanyooke

[bridge]
eeeey
na magazeti ya nyumbani
kwa kukuza habari si unajuagaa
utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga
oh yeh yeh yeh
navyo nilivyo mnyonge
tabia ya kuwajibu sinaga
kama naiona michambo ya madem wa zamani
yani he he heeeeee

[hook]
la la la la laaaaaa (eeeh)
(ola lala la laaaalaa)
la la la la laaa
(ooh ola la la laaaa)
la la la la la alaaaa
eeeh
ola la la lilaa ooh
i say..

[verse 3]
kama namuona mwanangu
roho yangu
tiffa dangote
ana kwenda na mama angu
kwa mkubwa fella anaf-kuzwa watoke
usilie sandra w-ngu
mboni yangu
jikaze usichoke
huenda kesho zamu yangu
nitavuma tena
mambo yanyooke(he he heee)

[hook]
eiiii
ola lala lilaa
oooh baby
tudd thomas

[outro]
oooooh
nayosema yana maana
sababu hakuna anaejua kesho
anaepanga ni rabana
ila ameificha ni confidential
ukisali omba sana
mumeo nisije kuwa kichekesho
maana rafiki wa jana
ndio adui mkubwa wa kesho

wasafiiii..

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...