ongeza - diamond platnumz lyrics
[verse 1]
mi kwako sikuingia miguu
mikono hadi kichwa kiufupi mazima
nikiaminii
wakufa kuzikana
yani hoi sio nafuu
mahututi kabisa hata mashaka sina
nikiaminii tutatengwa na maulana
mvumilivu ula mbivu
nimengoja mpaka zikaoza
naambulia maumivu
ingali sina wa kunipoza
sijui yangu stahamilivu
kunyenyekea kwaniponza
napambania utulivu
mwenzangu chuki unaikoza
sikukufuta tu machozi
ulipolia nlilia na wewe
sa mbona wanilipa majonzi
yani stress mapombe nilewe
we ndio w*ngu yesu mkombozi
sa mbona petro unaniacha mwenyewe
nikose usingizi na njozi
ndio ufurahi? okey sawa!
si unataka nitukanwe..!
[chorus]
ongeza ongeza bado (nidhalilike)
ongeza ongeza bado (nikose pakuificha sura)
ongeza ongeza bado (marafiki wanicheke, waning’ong’e adaa)
ongeza ongeza bado
[verse 2]
mmh!
kisicho kuua ukukomaza eti kiuaskari
huo msemo mi nakataa
maana jua linapo angaza ndio sina afadhali
mie kw*ngu ni mabalaa
ooh ooh! najitahidi k*msinga mwali
ila somo ananikataa
ooh ooh! penzi letu sie la kibatari
anayamwaga mafuta ya taa
kutwa ni vurugu ndani
purukushani apakaliki
roho inaniuma yani
kwanini sa tunagombana sweet
ooh ooh! jema gani
niambie labda nitеnde kipi
ata pakucheka honey
eti utani unapaniki
naеlewa!
ridhiki mafungu saba na la kw*ngu sita
naelewa!
sikutoshi labda kukuridhisha
sikukufuta tu machozi (sii iih iih)
ulipolia nililia na wewe (nawewe!)
sa mbona wanilipa majonzi
yani stress mapombe nilewe
we ndio w*ngu yesu mkombozi
sa mbona petro unaniacha mwenyewe
nikose usingizi na njozi
ndio ufurahi? okey sawa!
si unataka nitukanwe..!
[chorous]
ongeza ongeza bado (eeh eeh eeh! nidhalilike)
ongeza ongeza bado (eeh! nikose pakuificha sura)
ongeza ongeza bado (ndugu jamaa wanicheke, waning’ong’e adaah!)
ongeza ongeza bado (aah nikose pakuificha sura…!)
aah waning’ong’e adaah!
Random Song Lyrics :
- if it's over it's on - murphy elmore lyrics
- new gatti - gyuris lyrics
- slipped on banan - l4ddr lyrics
- not an alcoholic - pitbull lyrics
- drive - sea (prt) lyrics
- fuji to fuji - saggypants shimba lyrics
- over for us - kurt donavon lyrics
- dirty casanova - tia sa lyrics
- восход (sunrise) - mental pit lyrics
- turn over - 18stop lyrics